wanachama ni mali ya chama, siku wakipewa uhuru huo, huo uanachama unakuwa hauna maana kwa sababu kila mbunge anajifanyia na kujiongelea tu.
hakuna mwanasiasa yeyote duniani aliyechaguliwa kwa njia ya chama , chama kikakubuli kumpa nguvu zaidi ya chama. nasema tena HAKUNA.
wabunge kazi yao kubwa ni kutekeleza waliyoahidi na kuisimamia serikali kutekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani, hao unaosema wapewe uhuru, ina maana wana İLANİ zao tofauti na iliyonadiwa?