johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,897
- 141,830
Ukiwaangalia wabunge wa CCM wengi wao wanatimiza majukumu yao kimaigizo na hapo ndipo CCM inapofeli.
Johnthebaptist nasema siku CCM itakaporuhusu wabunge wake kutimiza majukumu yao bila kuigiza ndio utakuwa mwanzo wa nchi hii kupata maendeleo ya kweli.
CCM ina wabunge wazuri tena walioelimika vizuri wanachokosa ni uhuru kamili wa kujieleza na kuelezea mambo kama ilivyo Kenya.
Na hali hii kwa CCM ilianza tokea enzi za mwalimu Nyerere, na ndio maana wanaccm wakienda upinzani wanaonekana mahiri kwa sababu kule wanakuwa huru kutoa mawazo.
Hapa sizungumzii wabunge wa viti maalumu naomba tuelewane.
Maendeleo hayana vyama!