Siku CCM itakapowaacha wabunge wake wawatumikie wananchi kwa Uhuru ndio utakuwa mwanzi wa maendeleo ya kweli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,213
2,000
Ukiwaangalia wabunge wa CCM wengi wao wanatimiza majukumu yao kimaigizo na hapo ndipo CCM inapofeli.

Johnthebaptist nasema siku CCM itakaporuhusu wabunge wake kutimiza majukumu yao bila kuigiza ndio utakuwa mwanzo wa nchi hii kupata maendeleo ya kweli.
CCM ina wabunge wazuri tena walioelimika vizuri wanachokosa ni uhuru kamili wa kujieleza na kuelezea mambo kama ilivyo Kenya.
Na hali hii kwa CCM ilianza tokea enzi za mwalimu Nyerere, na ndio maana wanaccm wakienda upinzani wanaonekana mahiri kwa sababu kule wanakuwa huru kutoa mawazo.

Hapa sizungumzii wabunge wa viti maalumu naomba tuelewane.

Maendeleo hayana vyama!
 
shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,687
2,000
Watapewaje uhuru ili hali ubunge wenyewe wamepewa baada kuiba kura na kupora ushindi kwa msaada wa tiss na police na NEC, yaani hata kuwepo hapo bungeni tu hawastahili kuwepo.
 
KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,669
2,000
wanachama ni mali ya chama, siku wakipewa uhuru huo, huo uanachama unakuwa hauna maana kwa sababu kila mbunge anajifanyia na kujiongelea tu.
hakuna mwanasiasa yeyote duniani aliyechaguliwa kwa njia ya chama , chama kikakubuli kumpa nguvu zaidi ya chama. nasema tena HAKUNA.
wabunge kazi yao kubwa ni kutekeleza waliyoahidi na kuisimamia serikali kutekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani, hao unaosema wapewe uhuru, ina maana wana İLANİ zao tofauti na iliyonadiwa?
 
Chama ndio mali ya wanachama!

Wanachama ndio wanaokimiliki chama usisahau hilo!
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
5,055
2,000
Ukiwaangalia wabunge wa CCM wengi wao wanatimiza majukumu yao kimaigizo na hapo ndipo CCM inapofeli.

Johnthebaptist nasema siku CCM itakaporuhusu wabunge wake kutimiza majukumu yao bila kuigiza ndio utakuwa mwanzo wa nchi hii kupata maendeleo ya kweli.
CCM ina wabunge wazuri tena walioelimika vizuri wanachokosa ni uhuru kamili wa kujieleza na kuelezea mambo kama ilivyo Kenya.
Na hali hii kwa CCM ilianza tokea enzi za mwalimu Nyerere, na ndio maana wanaccm wakienda upinzani wanaonekana mahiri kwa sababu kule wanakuwa huru kutoa mawazo.

Hapa sizungumzii wabunge wa viti maalumu naomba tuelewane.

Maendeleo hayana vyama!
Twaweza (2017) wanachama wengi wa ccm ni mbumbumbu.....yaan hawâna uwezo mpana wa kufikir hvy hata wabunge ni zao la sifa tajwa
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,098
2,000
Ukiwaangalia wabunge wa CCM wengi wao wanatimiza majukumu yao kimaigizo na hapo ndipo CCM inapofeli.

Johnthebaptist nasema siku CCM itakaporuhusu wabunge wake kutimiza majukumu yao bila kuigiza ndio utakuwa mwanzo wa nchi hii kupata maendeleo ya kweli.
CCM ina wabunge wazuri tena walioelimika vizuri wanachokosa ni uhuru kamili wa kujieleza na kuelezea mambo kama ilivyo Kenya.
Na hali hii kwa CCM ilianza tokea enzi za mwalimu Nyerere, na ndio maana wanaccm wakienda upinzani wanaonekana mahiri kwa sababu kule wanakuwa huru kutoa mawazo.

Hapa sizungumzii wabunge wa viti maalumu naomba tuelewane.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu ukiachaga matapu tapu kumbe unakuaga na akili kiasi, shida yote hii inasababishwa na utawala dhalimu wa ccm so kwanini tusiiondoe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom