Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 392
- 529
Tunskutakia mfungo mwema wa kuombes watu kifo amenWapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ushauri hawa huwa tunawapa pia huduma ya maombi lakini ni ushauri mzuri pia Mungu awakumbuke na baada ya UKRAIN tutawaandalia maombi mengi tu yataendelea na za shida zingineKuna watoto wa mtaani unawapita kila siku wamelala vibarazani usiku utafkiri huwaoni, hata kilo ya sukari hujawahi kugawa kwenye kituo cha yatima, kijijini kwenu wanakunywa maji sehemu moja na mifugo, mahospitalini jirani zako wanakufa kwa kukosa pesa ya huduma.......sijui nataka kusema nini....
Hapana sio kuwaombea watu kifo ni kwamba aache kuua ili apone na akishipaza shinto afe yeye kuokoa maisha ya wengiTunskutakia mfungo mwema wa kuombes watu kifo amen
Sawa MkuuAhsante kwa ushauri hawa huwa tunawapa pia huduma ya maombi lakini ni ushauri mzuri pia Mungu awakumbuke na baada ya UKRAIN tutawaandalia maombi mengi tu yataendelea na za shida zingine
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Pia ni ushauri mzuri na hii inaonyesha kuwa utahitaji maombi mengi zaidi ila kumbuka biblia inasema mpende jirani yako kama nafasi yaklunaacha kuombea nchi yako yenye majanga kibao unawaombea kwa u-special Ukra?
Mungu yupi huyo anayeombwa hajawaona wa-Congo na Wasomali wanavyoteseka miaka dahari?
Tuwe serious kdg...
Mimi nasema waendelee kuchakazwa tukuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.
hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.
kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.
nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?
au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.
mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.
PUTIN stop killing your soldier
Wakati mnaiombea hiyo Ukraine, yule Rais wake mchekeshaji na hao wapuuzi wenzake wa NATO na Marekani kwa ujinga wao!Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15]Sadaka nipeni mimi
Wewe unafurahishwa na damu zinazoendelea kumwagika?Mleta mada hivi huko Milembe mmeruhusiwa kutumia simu siku hizi?
Wewe umeona watu wanaokufa ni huko Ukraine na Rusia pekee?Wewe unafurahishwa na damu zinazoendelea kumwagika?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Huko juu nimesema kuwa hitaji la maombi ni mengi kwa sehemu kwingi kwa kadri tunavyokumbuka ni sahihi na pia hili ni kazi endelevu na baada kumaliza UKRAIN tutawafikia wengi huko kwingiWewe umeona watu wanaokufa ni huko Ukraine na Rusia pekee?
Anza na Bara lako la Africa.Huko juu nimesema kuwa hitaji la maombi ni mengi kwa sehemu kwingi kwa kadri tunavyokumbuka ni sahihi na pia hili ni kazi endelevu na baada kumaliza UKRAIN tutawafikia wengi huko kwingi
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
PUMBAFU. Badala ujiumbee wewe mwenyewe na taifa lako kwa njaa na kukosa akili, wewe unatutangazia kuliombea kubwa la mahetani. PumbavuKufunga na kuomba kuanzia tarehe 30/11/2022 Mpaka tarehe 01/1/2023 muda kuanzia asubuhi hakuna kula mpaka jioni ya jua kuzama ndio tutakuwa tunakula.
Ukiwa utapenda kushiriki lakini una matatizo kiafya ambapo hauwezi kujizuia Kula basi unaruhusiwa Kula lakini shiriki maombi na kutwa panga kuomba sio chini ya mara 3.
Tafadhali usipange kukosa na ili tujijue kama nashiriki basi usiache ku comment ili tujijue wale ambao tutashiriki
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app