Dr slaa ni kiongozi makini, hasinge anza kuangaika na meya wa arusha wakati ccm wanataka kuchakachua KATIBA YA NCHI, alikuwa kwenye harakati nyingine za kuokoa taifa, na imewezekana kikwete na hao wanyonyaji wenzake wamerudi nyuma na muswada umchomolewa bungeni, sasa hiyo ya Arusha shukurani kukumbushia wewe subiria, au kuna akari wa kuua watu wamemaliza mafunzo ndio maana unajifanya kifua mbele, wewe si umeona kilichotokea TABORA, POLICE wenyewe wanasema serikali imeogopa maandamano na kutimiza mnachodai , hivyo hakuna tena haja ya maandamano!!!!!
. ila siku 90 alizotoa kikwete kuhusu nyumba zetu za umma, inaweza kuwa kizaa zaa hapo ikulu
chadema wametoa siku 90 kwa serikili kurudisha nyumba zetu magufuri alizogawa kwa bei ya peremende kwa ndugu zake na mafisadi, na unajua kikwete anataka kutawala madarakani lakini wavuane magamba tena na hiyo itakuwa balaaNijuze hapo mkuu nimeachwa!
ila siku 90 [COLOR="red"][B]alizotoa kikwete[/B][/COLOR] kuhusu nyumba zetu za umma, inaweza kuwa kizaa zaa hapo ikulu
chadema wametoa siku 90 kwa serikili kurudisha nyumba zetu magufuri alizogawa kwa bei ya peremende kwa ndugu zake na mafisadi, na unajua kikwete anataka kutawala madarakani lakini wavuane magamba tena na hiyo itakuwa balaa
samahani kwenye RED ni alizopewa kikwete na chademaHTML:ila siku 90 [COLOR="red"][B]alizotoa kikwete[/B][/COLOR] kuhusu nyumba zetu za umma, inaweza kuwa kizaa zaa hapo ikulu
Teh teh teh siku 90 zingine
Hivi ndio vitu vinavyowapotezea watu credibility, Chadema wanapaswa wawe na priority zao na kuzifuatilia utekelezaji wake na sio kila siku kutajataja tu vitu viiingi na kuviacha vinaishia juu kwa juu!!
Asante mkuu,
Kwa uhakika siku 21 zimeshapita, na alisema lazima uchaguzi wa mea arusha utarudiwa. sijui nimekujibu swali
Zile siku 21 za Slaa juu ya kurudia uchaguzi wa madiwani arusha ni lini zitakamilika?
Zile tisa zilikwisha, sasa 21 nazo nauliza sitakwisha lini?
Mkuu nakubaliana na wewe 10/10. Ndo haya ya kutoa ahadi ahadi mwisho wake haujulikani. Hata JK, pamoja na kutafuta mchawi lakini naye credibility ilishuka sana kwa kuendelea kutoa ahadi zisizotekelezeka.
mkuu upeo wako mdogo unalinganiza ahadi za katibu wa chama na rais ya nchi <pumbavu>
we have a country to save mkuu, hii hakuna kurudi nyuma, tutaangusha masanamu yote ya ufisadi wa ccm yaliyozaa nchii nzima, ili la nyumba hakuna kwenda mahakamani ni maandamano mpaka UN security council resolution , hii style nimeipa jina KIMISRI MISRI WATU TUTAKAA MNAZI MMOJA SIKU 18 KAMA TARIQ SQUARE ILIVYOKUA
umesema tena uongo! Slaa alisema baada ya cku 21 atawaachia wananchi wa Arusha waamue wenyewe. Wala hakusema lazima uchaguzi urudiwe! Kwahiyo sasa kazi ni kwetu sisi wakazi wa Ar tuamue cha kufanya!
mmm pole mkuu . Siku 21 ndo zimesababisha Makamba na wenzake kungoka kwy uongozi je ulioni hilo
Hivi ndio vitu vinavyowapotezea watu credibility, Chadema wanapaswa wawe na priority zao na kuzifuatilia utekelezaji wake na sio kila siku kutajataja tu vitu viiingi na kuviacha vinaishia juu kwa juu!!
MKamaP;Vyema,
Mtu akitoa ahadi na siku zikifika ni nini kinachopaswa? na akifanya ndivyo sivyo nini unapata ama unajifunza kutoka kwa mtoa ahadi?