Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
- Thread starter
-
- #41
6. Kuhusu tatizo la maji nchini, Lowasa alikuwa Waziri wa Maji na wakati huo hakuweka mipango yoyote ya kuondoa tatizo hilo. Hata jimbo la Monduli analoliongoza, wananchi wanakunywa mikojo ya Ng'ombe kwa kukosa maji safi na salama licha ya yeye kujinasibu kuwa anauchukia umaskini. Kwa sasa serikali inatekeleza mpango kabambe wa kuondoa tatizo hilo kwa vijiji vyote ambapo kila mwaka halmashauri hupewa fedha za miradi ya maji kwa vijiji zaidi ya 10
nimependa uwazi wako,kwa mamlaka ya rais hayo matatizo ni kutoa amri na utekelezaji unaanza,wakat nchi ina hali ngumu watu walisoma bure iweje leo ishindikane?tatizo la folen dar ni ufinyu wa upeo tuAll falls in short plan of about 2 (60 dys) 2 months. Kwanza hayo matatizo yote hayakupaswa kuwepo
1. Uhakika wa dawa na vifaa vya uzazi.
2. Umeme wa uhakika nchi nzima.
3. Kuanzisha mchakato wa katiba mpya.
4. Kupunguza foleni Dar-Es-Salaam na miji mikubwa.
5. Kuondoa kero kwa wafanya biashara ndogondogo (Machinga), Mamantilie na bodaboda.
6. Kuweka mipango kabambe ya Kumaliza tatizo la maji nchi nzima.
7. Mfumo bora na rafiki kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa.
8. Kufuta ada na michango kwa wanafunzi kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.
9. Kupunguza kodi ya mshahara kwa wafanyakazi (PAYE).
10. Kufuta kodi zote za mazao kwa wakulima, wavuvi na wafugaji.
11. Mkakati wa kukuza michezo, sanaa na utamaduni.
12. Kuunda tume maalum ya kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima.
13. Kuanzisha kituo kila wilaya kutoa huduma za serikali (one~stop centre).
14. Kuboresha maslahi ya watumishi wa vyombo vya usalama (polisi, wanajeshi, Takukuru). Kuboresha maslahi ya walimu, watumishi wa afya na watumishi wa serikali kwa ujumla.
15. Kuweka dira na mipango ya kuelekea katika uchumi wa kipato cha kati.
Ile ilani aliyotuambia tukaisome kwenye website ameachana nayo, siyo? Kila siku anabadilisha vipaumbele!
Hakuna jambo baya kama mtu kutumia hali ya maisha ya watu wengine ili atimize malengo yake ya kisiasa! Lowassa amekaa CCM miaka 40, na sehemu zote alizopita ameacha makovu. Hapo kwenye maji. Mbona alivyokuwa waziri mkuu hakusema chochote kuhusu machina na mama ntilie?
10. Kuhusu kufuta kodi zote kwa mazao ya mifugo na kilimo, hapo ndipo anapojidanganya. Najua yeye anamiliki ranchi kubwa pamoja na ndugu yake Sumaye. Anataka ile mifugo ambayo anafuga na mabepari wenzake wasilipe kodi na serikali isipate chochote. Mtu ambaye anafikiria kutokusanya kodi basi huyo ni kiongozi juha kabisa
Tatizo mnadhani serikali inaendeshwa Kama saccos yake pale monduli.
Hawalipi kodi isipokuwa wanalipa ushuru pale wanapouza mazao yaoHivi Tanzania kuna watu wanalipa kodi ya kilimo na ufugaji?
12. Kuhusu kuunda Tume ya kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji, Lowasa akiwa Waziri wa Ardhi ndiye Waziri anayeongoza kwa kuchochea migogoro badala ya kuitatua. Hana jipya. Huu ni ulaghai mwingine. Lukuvi amefanya kazi kubwa ya kurekebisha makosa yaliyofanywa wakati wa utawala wa Lowasa
11. Kuhusu mkakati ya kukuza michezo, sanaa na utamaduni, hilo utekelezaji wake hauwezi kufanywa ndani ya siku 100. Utawala wa JK umekuwa rafiki sana kwa wasanii. Ndo maana tunaona akina Diamond wanafanya collabo na wasanii wa nje tena wakubwa wakubwa. Pia tunaona wasanii wa Tanzania wanashiriki kwenye tuzo mbalimbali za nje ya nchi
Hivi Tanzania kuna watu wanalipa kodi ya kilimo na ufugaji?
Kwani bila baraza la mawaziri nchi inakua imesimama au/ kwan ni mawaziri ndo wanafanya kazi.Mhhhh!! Hayo yote ndani ya siku 100. Nadhani hata baraza la mawaziri litakuwa bado halijaanza kazi.
12. Kuhusu kuunda Tume ya kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji, Lowasa akiwa Waziri wa Ardhi ndiye Waziri anayeongoza kwa kuchochea migogoro badala ya kuitatua. Hana jipya. Huu ni ulaghai mwingine. Lukuvi amefanya kazi kubwa ya kurekebisha makosa yaliyofanywa wakati wa utawala wa Lowasa
Ushuru kwenye mazao...
1. Hakuwa RAIS
2. Alikuwa CCM
3.Alizungukwa na mfumo mchafu ufanyao kazi kwa mazoea na sio kwa ufanisi
Machache aliyoyafanya ni NOTABLE, japo hayakufikia kiwango ambacho kilitakiwa kwa sababu Misisiemu walienda haendani na mfumo wao wa kuiba kupitia miradi ya wananchi.