Siku 100 Tayari zimetamatika, Je ahadi ipi imetimizwa kwa 100%?

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,506
Reaction score
2,898
Wakati wa kampeni Chama Cha Mapinduzi CCM walijinadi kwa ahadi rukuki walikuwa na mipango ya muda mrefu na mipango ya muda mfupi

Kwa Leo tujikite katika kuchambua mipango ya muda mfupi (siku 100)
Je zile ahadi walizotoa zimetimizwa kweli?
 
Kuuwa maelfu ya watu, kupora rasilimali na kubagaza kodi za wananchi, kutisha na kubambikiza makosa ya uongo, utekaji haya yametimia na yanaendelea kutokea kwa kasi kuliko mradi wowote katika huu utawala HARAMU wa CCM chini ya SAMIA SULUHU HASSAN na vibaka wengine pale bungeni na ktk majeshi ya Uvccm
 
Huyo mama hamna kitu acha kbs kutarajia maajabu kutoka kwake...kubwa alilofanya so far ni mauaji ya raia 29 oktoba!.
 
Wakati wa kampeni Chama Cha Mapinduzi CCM walijinadi kwa ahadi rukuki walikuwa na mipango ya muda mrefu na mipango ya muda mfupi

Kwa Leo tujikite katika kuchambua mipango ya muda mfupi (siku 100)
Je zile ahadi walizotoa zimetimizwa kweli?
Katiba mpya haijaguswa kabisa na naiona dalili ya kupuuzwa kabisa kwa ahadi muhimu zaidi kwa Mtanganyika!
 
Katiba mpya haijaguswa kabisa
katiba wamesema mpaka mambo ya maridhiano yapite.

kimsingi waandamanaji wameshaslow down --- lasivyo ingeshafahamika mapema ahadi zipi chali ahadi zipi ahueni
 
Huyo mama hamna kitu acha kbs kutarajia maajabu kutoka kwake...kubwa alilofanya so far ni mauaji ya raia 29 oktoba!.
Hamna kitu kwa sababu unamtazama kwa akili zako za chuki na za kibaguzi, aliahidi ajira tayari wameshalamba kazi watu kule TAMISEMI.

Mapinduzi makubwa ya uendeshaji wa bandari ya Tanga na Dar yapo njiani, Bagamoyo bandari itaanza kujengwa mwaka huu.

Daraja la Pangani linaelekea kumalizika, yapo mengi sana yanayofanyika muda huu.
 
Kwa hiyo uuzaji wa Bandari ya Tanga kwa Wajomba zake nayo ilikuwa ni sehemu ya ahadi zake za siku 100...!!?
 
Back
Top Bottom