tumia mafuta ya habat soda dondoshea matone matatu, then ziba na pamba ,mi skio langu lilikuwa hivyo siku tano mfululizo, baada ya kutumia hiyo nko powa now
Pole sana Mkuu ila kwa first aid hebu jitahidi kuliinamisha huo upande wenye maji ili yatoke yote au kama hapo ulipo ni jirani na Kituo chochote kile cha Afya tafadhali hebu kimbia wakakutibu haraka Mkuu kwani bado tunakuhitaji humu Jamvini kama mwenzetu uliyetukuka. Pole, usiogope na utapona tu Mwenyezi Mungu akupiganie Mkuu.