Arusha Mambo
Senior Member
- Jan 27, 2011
- 174
- 150
Asaante sasa nasikiliza nikiwa classBonyeza link hii kusikiliza Bunge
Bungeni Live
haifunguki mkuu.....
Salaam,
Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia info@arushamambo.com
Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda kesho tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki.
Source: Arusha Mambo.
Kwa Faida ya Wale ambao hawakusikiliza,
Tutarudia kipindi cha Bunge la Nane la Bajeti kilichofanyika leo Tarehe 13.06.2011 kuanzia saa 5asubuhi.
Sikiliza Bunge katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia info@arushamambo.com
Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda kesho tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki. Bunge la Tanzania litafungwa rasmi Agosti 22.2012.
Source:
Arusha Mambo Internet Radio.
Hiyo redio yenywe naona matangazo tu, na wewe unaharisha harisha tu hapa!Bunge limepwaya sana hadi makamanda watoke msibani ndio mambo yatakaa sawa.
Salaam,
Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia info@arushamambo.com
Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda LEO tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki.
Source: Arusha Mambo.