ngoshwe JF-Expert Member Mar 31, 2009 4,131 937 Sep 18, 2011 #1 Hii kitu ipo sokoni, kuzuia maambukizi mapya kwa wenye ndoa..sikia kengele, chukua hatua.."ULEVI NI NOMA!"
Hii kitu ipo sokoni, kuzuia maambukizi mapya kwa wenye ndoa..sikia kengele, chukua hatua.."ULEVI NI NOMA!"
Daffi Jr JF-Expert Member Jun 25, 2011 3,824 909 Sep 18, 2011 #2 zinapatikana wapi vyupi km hivi nimnunulie wife?
Jeji JF-Expert Member Jun 28, 2011 1,973 372 Sep 18, 2011 #3 Daffi said: zinapatikana wapi vyupi km hivi nimnunulie wife? Click to expand... mkuu sio wife peke yake ni vizuri mvae wote, zipo na za kiume.
Daffi said: zinapatikana wapi vyupi km hivi nimnunulie wife? Click to expand... mkuu sio wife peke yake ni vizuri mvae wote, zipo na za kiume.
G geophysics JF-Expert Member Nov 1, 2010 904 167 Sep 19, 2011 #4 Designer kachemsha...kufuri old school... watu wanachonga funguo...Siku hizi ni mambo ya combination...you just plugin combination passcodes.
Designer kachemsha...kufuri old school... watu wanachonga funguo...Siku hizi ni mambo ya combination...you just plugin combination passcodes.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 635 Sep 19, 2011 #5 hapo ulinzi hakuna ingekuwa na electronic sensor ya vidole vya mumewe!!!
ngoshwe JF-Expert Member Mar 31, 2009 4,131 937 Sep 19, 2011 Thread starter #6 Emanuel Makofia said: hapo ulinzi hakuna ingekuwa na electronic sensor ya vidole vya mumewe!!! Click to expand... "Kidole" au "Vidole?" Au ingekuwa hii "KITU" ndo sensor!!
Emanuel Makofia said: hapo ulinzi hakuna ingekuwa na electronic sensor ya vidole vya mumewe!!! Click to expand... "Kidole" au "Vidole?" Au ingekuwa hii "KITU" ndo sensor!!