sikia hiiii

rankm

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
6
Reaction score
3
Hata uwe msafi vipi
huwezi kusafisha bahari ikichafuka
ongeza yakoooo
 
hata uwe na mbio vipi huwezi kimbia shida
 
Hata uwe na sura mbaya vp,usihalalishe police kuua raia.
 
hata uwe msafi vipi huwezi safisha karo la maji taka!!
 
Hata uwe mtafiti wa kisayansi, huwezi kujua muda uliolala usingizi.
 
hata uwe mpishi vipi, kachumbari haiwekwi nyanya chungu
 
Hata uwe tajiri vp huwezi mpokea obama airport bila kuruhusiwa na F.B.I
 
Visu, kiwembe,panga vyote vina Kata lakini havina wilaya..!!
 
hata uwe kinyozi bora kiasi gan mteja mwenye kipara hanyolewi kiduku .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…