and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.
Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
