Sijui yukoje huyu dada

,Kijana maliza likizo rudi shule
wakubwa wameshituka kuwa upo likizo
 
Subiri akiachwa na anayemzuzua atakujibu text zako....ndowalivyo tena akiyumbishwa na jamaa kidogoo anakupa hadi mzigo ww endelea na hizo text kila siku atachokaa mwenyewe ila usome udhaifu wake na wewe sio unasubiri Muujiza!!!
 
Pole sana... Kama hataki mwaache aende zake...
 
Hivi kigumu hapo nini umeshaona hupendwi kinachokung'ang'aniza kitu gani.

Tafuta akupendaye wacha kuumiza kichwa.
 
mtu hakutaki na ameshakuonyesha kabisa sijui nn unataka kwake

nyie ndio wale mtu anakukubali ili mradi tu sbbu unaforce mapenzi na unafanywa kama zombi
 
Jua hujapendwa unamletea giza huna viwango anavyotaka
 
ndo maana tumo kwenye roli. kama abiria ndo sampuli hizi. mmmh
 
hahaha, daaah itakua kashtkia una kibamiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

kidding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…