Sijui yukoje huyu dada

Sasa man... nini tatizo....? Muache.. endelea na maisha yako
 
"Dada,binti,mtoto" mbona sikuelewi
 
Ukiona zako sinasomwa alafu hakujibu ujue kakudhalau jiangalie kwanza wewe utapata magonjwa ya moyo kisa mtu uliyemkuta na meno.yote
 
Sio kila Uzi unafaa kuletwa JF,
Think critically kabla hujaleta mada yako.
Ushauri: Kajitambulishe kwao kuwa unahitaji kumuoa utapomaliza Masomo yako.
Nakutakia njema
 
Mkuu kwanza unajiita BOY wewe mwenyewe. Sasa kama umeambiwa ufute namba unaing'ang'ania ya nini?

Futa namba, fanya mambo yako ya msingi, kama mwanamke tafuta mwingine.

Kuhusu dharau inawezekana akawa anakudharau peke yako kwa sababu ya mambo yako.
kamsaidie kufuta ye hawezi.
 
Ameshakwambia anakutakia maisha mema unasubiria nini?? Au unataka umjibu YOU TOO??
Acha kuugua mapenzi kijanaa, tafuta Demu mwingine huyo hakufai
 
Hahahaaas achana nae baba atakutia presha bure tu haswa akijua umempenda Sana ndo kiburi kinazidi @mm mwenyewe nimeachana na manzi mmoja juzi kwa tabia hizo hizo
 
jf expert member gani wewe unaumizwa kichwa na kasichana kadogo kabisa hako.achana nae ana mtu wake anae mpenda hakupendi wewe
 
Futa Mkuu... mbona unaleta uboya wenu Mpk humuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…