Sijui walilazimishwa kuoana!!!?

Na bwana harusi inaonekana kalivuta lile la Tarime.
 
Waache waoane [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo inaezekana kuna mtu Alisema huolewa ndo anamnyali kumuoneshea nishaolewa unasemaje
 
Bwana harusi sijui analia!
 
Kuna jambo litakuwa linamkera toka kwa Bwana harusi, inawezekana Pozi la Picha hakulipenda!
 
[emoji23] Huyo mwanamke anaonekana ni Mwehu angalia mdomo wake vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…