Sijui ntatibuje tattizo hili?

Sijui ntatibuje tattizo hili?

tumia muda wako kumsoma mtu na nakushauri upumzike kwa sasa mpaka utakapopata mtu sahihi wa kumpenda.Prioritize urself and give urself a break...naona mapenzi yanakupelekesha sana julius mahinya...love will just come...take a chill pill
haya mama nimekuelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kumbe ndo maana biint aliamua kuolewa na mwanaume mwengine akiwa na mimba yako, basi jua utaachwa na mimba kupewa wenzio kila kukicha coz ni ngumu kukaa bila mapenzi
 
si unaona tatizo wanalo wengi?
 
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?
Mkuu kama uko hivyo basi hujawahi kumpenda msichana bali unatamani wasichana ilimradi huo mnara wako umeenda hewani basi ukisha malizana nae kama jogoo unasepa kama beberu la nyati.
 
Badilisha tabia yako ya kutamani wasichana na uanze tabia ya kuwapenda. Maana ukimtamani mwanamke unadumu nae siku 1 tu ila ukimpenda mwanamke unadumu nae muda mrefu.
 
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi nikisha mtafuna tu na penzi juu yake hunitoka! Nafanyaje jamani?

Hata yule dada uliyesema anakutia majaribuni naye umeshamtema????????????????
 
Mkuu kama uko hivyo basi hujawahi kumpenda msichana bali unatamani wasichana ilimradi huo mnara wako umeenda hewani basi ukisha malizana nae kama jogoo unasepa kama beberu la nyati.

Haswaa
Na sijui wanawatoaga wapi
 
huo ndio uanaume. ndio maana kuna tangazo la kuhusu michepuko.
men made for the sexy,women made for the love
 
....wale jf-mmu theologists waje na dhana za kuombewa ili "jini mahaba" akutoke...watakemea usijali!!!
 
Back
Top Bottom