Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,414
Sio kila mara nasafiri kuona maajabu ya dunia, kuna maswali ambayo uwa najiuliza na hayana majibu, safari hii nimeifunga all the way from rockcity, nimemuacha mama watoto akiwa kwenye bedrest, ili tu nipate majibu ya maswali yangu,,
je, Invisible ni robot kweli? Kama ni mtu, ni mwanamke au mwanaume, if possible ningependa nipate kupga nae picha... Sitaondoka mjini hapa nionane na robot. Yoyote anayejua anapopatikana anifahamishe... Sina sababu yoyote zaidi ya curiousity

Last edited by a moderator: