Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
Sasa unasubiria nini? funguka upate poozeo la moyo wako , raha jitafutie mwenyewe... maisha yenyewe mafupi bibie!
umechanganykiwa.....mwambie dingi ako akupeleke hospito upmwe akili
muache abaki kuwa rafiki!
usifanye akawa mupenzi!
it sucks!
Uzao wa Eva bana!
not necessarily!Thanx lov...labda nisionane nae kabisa
Thanx lov...labda nisionane nae kabisa
Pole mpendwa,nakushauri umwambie,ili ujue mpo page moja au lah!hapa chances ni 50/50 so jaribu bahati yako dear he might be your princecharming!Mie moyo wangu nishautia kufuli kabisa naogopa kuufungua!Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
Mkuu,wenzio wanahangaika na gym kukata weight,wewe una automatic weight reducer...bahat iliyoje mkuu...?
Back to topic,better umwambie,au omba naye out then huko mtakapoenda out try kumwekea ishara ajue unampenda.ukiona haelew,mfungukie,vunja ukimya!
Kama hilo linawezekana kwa mazingira mliyopo, ukaweza kupunguza na hatimaye kukata kabisa mawasiliano nae ni suala la muda tu uta move on.
Pole though,impossible Love inatesa sana.
kwa lipi labdaumenkasirikia?.....lia basi
Hauruhusiwi kupenda au?
mpenz ht usiufungue ni hatari mno....nilikuwa pembeni naogopa hayohayo,hata sielewi imekuaje.....Pole mpendwa,nakushauri umwambie,ili ujue mpo page moja au lah!hapa chances ni 50/50 so jaribu bahati yako dear he might be your princecharming!Mie moyo wangu nishautia kufuli kabisa naogopa kuufungua!