Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
msaidie tuu,,,,jilipue uokoe kichanga...ni malaika anahitaji msaada..Kuna ndugu yangu bwana alipata matatizo wakati wa kujifungua akafariki akaacha kichanga.na wenzake wawili.
Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya watoto Ila simfiili kabisa sio flavour zangu.
Kuna ndugu yangu bwana alipata matatizo wakati wa kujifungua akafariki akaacha kichanga.na wenzake wawili.
Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya watoto Ila simfiili kabisa sio flavour zangu.
Sasa yeye je? Huoni nitamtesa?Bora uongee nae umsaidie kulea hao watoto kama haina hisia na huyo mwanaume!
Love kwanzaKwa wewe unaweza kutenganisha sex na love?
Love kwanza