Mkosi gan unazungumzia mdogo wanguSalam wakuu..! Mimi ni kijana wa Kitanzania,, miaka minne nyuma nilikua naona future yangu itakua nzur lakin kila kitu kilikuja badilika pale nilipo hitimu kitado cha sita...
Mwanza nilikua na ndoto za kuja kusoma course yoyote ya afya, nilipomaliza kidato cha sitak nilifaulu vizuri (distinction G.P.A
Ume andika nini bwana mkubwa mbona usomekiSalam wakuu..! Mimi ni kijana wa Kitanzania,, miaka minne nyuma nilikua naona future yangu itakua nzur lakin kila kitu kilikuja badilika pale nilipo hitimu kitado cha sita...
Mwanza nilikua na ndoto za kuja kusoma course yoyote ya afya, nilipomaliza kidato cha sitak nilifaulu vizuri (distinction G.P.A
kurudi shule kwangu sio tatizo... tatizo ni nano wa kunilipia ada tena ??
Kaka...safi mzee,ulimjib vizuri hata kabla hajaeleweka.Mkosi gan unazungumzia mdogo wangu
Usy usifanye mambo hayo! Hivi kuna vijana wangapi wapo mtaani wanafanya shughuli tofauti na walichosoma! Ni kweli inatia uchungu lakini uchungu huo usikufikishe kuwa na mawazo hasi kiasi hicho ! Hebu kaa utafakari ni kweli kabisa Elimu yako tangu STD ONE ,HUONI CHOCHOTE AMBACHO UNAWEZA KUITUMIA ...ACHANA NA GESI NA MAFUTA ,HIYO KWA SASA HUJAPATA ...HUNA KINGINE UNACHOWEZA KUFANYA!!??samahani rudi usome tena mkuu nilikuwa sijamaliza kuandika
Haina haja ya kukata tamaa MZEE. Hakuna sababu ya kufanya hivyo kabisa, kila litokealo linatokea kwasababu. Course inaitwaje?umemaliza mwaka gani?Salam wakuu..! Mimi ni kijana wa Kitanzania,, miaka minne nyuma nilikua naona future yangu itakua nzur lakin kila kitu kilikuja badilika pale nilipo hitimu kitado cha sita...
Mwanza nilikua na ndoto za kuja kusoma course yoyote ya afya, nilipomaliza kidato cha sitak nilifaulu vizuri (distinction G.P.A 4.0)... hapa ndo kila kitu kiliharibika baada ya kuchagua kujiunga course iliyoanzishwa kisiasa ( Mafuta na gesi), nilijiunga Udsm nikasoma kwa bidii hata baada ya kuona kua nimepotea nj. Nashukur niligraduate na matokeo mazuri sana ila baada ya kurud mtaani nikakuta yote hayo ni ilikua napoteza muda na nguvu tuu ..
Nimebaki huku mtaani na vyeti vyangu tuu makampuni yote ya mafuta wanasoma tuu barua zangu na kuzitupa kama taka nyingine..
Sina thamani yoyote mtaani nakula kile mama anachopika naomba hadi vocha, mtaji wa kufanya biashara sina na kila ninapojaribu kuomba kufanya kazi hata kwa elfu 50 kwa mwezi nakosa..
Wadogo zangu mtakao chuo mwaka huu jiepusheni sana na hizo course za kisiasa ambayo ujuzi utakao upata hautakusaidia kwa chochote na mbaya zaid huwez kuutumia kujiajir..
Namchukia aliyeanzisha hizo course lakin mbaya zaidi najichukia mwenyewe kwa kuingia kwenye huu mtego... msiponiona Jf basi niwatakie kila LA kheri katika maisha yenu kwani mawazo yanayonijia kichwani mwanhu ni mengi sana..
N.B nipo serious, sitanii hata kidogo..
Ujue utoto shida San mkuu ,kwan kaanzisha Uzi alaf hajui anatak ninKaka...safi mzee,ulimjib vizuri hata kabla hajaeleweka.
Ufaulu wako shuleni unaonyesha kwamba wewe ni mtu makini na unaeelewa unachokifanya pale akili yako inapoamua kufanya, use that ability to ur advantage, badili mtazamo wako kuhusu maisha an start afresh... ts not too late bwana mdogo. maisha hayako shuleni maisha yanaanza immediately baada ya kuingia mtaani. Usikubali kushidwa maisha kirahisi hivyo, suicide is for pussies.Salam wakuu..! Mimi ni kijana wa Kitanzania,, miaka minne nyuma nilikua naona future yangu itakua nzur lakin kila kitu kilikuja badilika pale nilipo hitimu kitado cha sita...