Mlie na usimpe tuna......hao wasio heshimu ndoa zao usiwaonee huruma.
Simdanganyi....kama keshaambiwa hasikii. Na kumbe kaamua mwenyewe kujitolea wala sizikatai.naona unamdanganya dogo
Simdanganyi....kama keshaambiwa hasikii. Na kumbe kaamua mwenyewe kujitolea wala sizikatai.
Anadawa huyo ukila tu atakugonga kiulaaaaaaaini mpaka utaomba uwe mke mdogo
ha ha ha ha haMpotezeee,tu. Ukila cha mtu esp mwanaume hawezi kubali mikono mitupu, kwa njia moja ama nyingine.
Jus ignore him. Mambo ya kuchuna naona hujawahi, hujazoea ukijifunza ukubwani itakughalimu
hakuna vya bure sikuizi, atanaswa tuu
ukila tu jua utaliwa binti.... sasa kama hutaki kuliwa acha kupokea zawadi.. zawadi nyingine utazifuata na once umezifuata utavuliwa chupi tu
Habari.mm ni msichana 22 years.kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana.sijui hata number yangu alimpa nani.ohoo nakupenda.nikamwambia si una mke ww.akasema hana.wakati ni mtu mzima.nikanwambia n8na mchumba.sasa kila kitu.nikuletee.mm nakataa.nimchune au ntadaiwa.simpendddi .nakumblock nimemblock ila sms huwa zinafika ila hakomi.
mwache tu hajui kale kawimbo ka mzee yusufu umekula hela zangu utanibeba leo siondoki peke yangu,umekunywa soda zangu wee ...utanibeba leo siondoki peke yangu
mwache tu hajui kale kawimbo ka mzee yusufu umekula hela zangu utanibeba leo siondoki peke yangu,umekunywa soda zangu wee ...utanibeba leo siondoki peke yangu