Sijui niko sehemu sahihi?

Huyo atakuwa ana Jini Mahaba atolewe ndipo atakuwa anajisikia raha ya kufanya tendo la ndoa queenlishas

Atakuwa na mapepo ya mahaba mengi sana... Mshauri akaombewe..

C.c. MziziMkavu
Umepatia itabidi apate mtu wa kumtibia au anitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Anakudanganya huyo. Ninachokushauri ebu nenda kamjaribu mume wake uhakikishe kama kweli hana uwezo wa kumfikisha mwanamke hapo ndipo utapata cha kumshauri rafiki yako.

Hahahaaa dadoo we ni noumer..aya bana asante
 
This is a new Tanzanian invention!!

Kip it up, we might come up with a new CHUMVINI theory!!!
 
mmh, Asprin stuka, ukiona wake wenza wanapatana ujue wanafichiana siri mahali, au wanasaka roho yako.

Aahhaaaaaaaahhhaaaaaaa, chezeya wanawake wewe, utaipata pataaaaa, yaani nimecheka mpaka basii . Asante kwa kunichekesha loh I need it!
 
Last edited by a moderator:
hongera kwa majukumu mke mwenza, kaza buti ndio kutafuta huko.....


mmh, Asprin stuka, ukiona wake wenza wanapatana ujue wanafichiana siri mahali, au wanasaka roho yako.


Nimekumiss mke mwenza, majukumu yamebana.

mpaka dakika hii ujue Asprin keshaumia!!
 
Last edited by a moderator:
Hauko rude my dear.ka ujuavyo wasichana tu waoga. Waweza funguka kwa rafikiyo ukaogopa kua mumewe atakuona tofauti.

uyo ni mume au afande??? unaanzaje kumuogopa mumeo??? hainiingii kwa kichwa aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…