Sijui niko sehemu sahihi?

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Habari wana MMU

Kilichonirejesha ni maajabu ya ulimwengu.

Rafiki yangu kaolewa na kila anapokutana na mumewe ata wafanyeje askii raha wala hafiki kileleni ila akijichezea mwenyewe anaweza lia kwa utamu.

Ni ugonjwa au mumewe hajajua sehemu ya kumliza?

Kaja kwangu nikaona ni tatizo, nawasilisha mada kwa wajumbe wa jumba hili.
 
Mbona tatizo tayari lina solusheni...!!!
 
...kaja kwako:0 ! Kwanini asiliongee na mumewe!? Wewe ni mnasihi au anavutiwa nawe !?
 
mhh..huyo kajizoesha hiyo tabia .akiwa na mumewe akili yake haipo pale anawaza vidole vyake na vitu vingine...aache hiyo tabia kisha amuelekeze mumewake sehemu ambazo zitampa mzuka.
 

Samahani kama nitakuwa rude, huyo Rafiki ameongea na mumewe kwanza kabla yako. Kwa maana wewe si muhusika , Haya ameshakuambia , tatizo limetatuka? Mwambie aongee na mumewe kwanza. Haya sielewi amewezaje kukueleza wewe badala ya mumewe kwanza, ahii. Asante.
 

Hauko rude my dear.ka ujuavyo wasichana tu waoga. Waweza funguka kwa rafikiyo ukaogopa kua mumewe atakuona tofauti.
 
mhh..huyo kajizoesha hiyo tabia .akiwa na mumewe akili yake hiaipo pale anawaza vidole vyake na vitu vingine...aache hiyo tabia kisha amuelekeze mumewake sehemu ambazo zitampa mzuka.

Asante bby sac
 

nmeshakutana na wengi wenye matatizo kama hayo, na wakapona.... usisite kumpa mawasiliano yangu antafute
 
...kaja kwako:0 ! Kwanini asiliongee na mumewe!? Wewe ni mnasihi au anavutiwa nawe !?

Na Mimi nilisema hivyo hivyo mdau. Kwa nini awe mwepesi kwa Rafiki na si kwa mumewe? Aongee na mumewe kwanza . Asante "
 
...kaja kwako:0 ! Kwanini asiliongee na mumewe!? Wewe ni mnasihi au anavutiwa nawe !?

Jaman obe anavutiwa na mimi tena akati mie mwanamke mwenzie..
Kaitaj msaada kwan anaogopa mwambia mumewe
 
Mpe pole, huyo keshazoea kujitibu mwenyewe kwa vidole, na tayari ameathirika kisaikolojia, anatakiwa afanyiwe conceling au ani pm nimwelekeze.
 
ok mwambie hapo anapojishika kwa vidole mpaka anafika kileleni amwambie mumewe ashike hapohapo asugue vizur na kunyonya sana then aweke dushe lake azungushe kwene k huku anachezea kisimi uone kama atarudi tena kwako kuomba ushauri ,mautundu anayo mwenyewe ila kwa sababu mbulula atabaki kutamani tu,tatizo hajamfanya mumewe kuwa rafiki yake au mtani wake anamuogopa mumewe,kaaa,akuuu acha nifaidi vyangu looo nakupenda may habby leo lazima anikune sehemu yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…