Kwa vile bado hujapata ajira hebu wekeza kwenye gamilia yako. Fanya usafi, toa mapazia hapo kwenu uyafue. Kama kuna mivyombo kabatini haijawahi yumika toa yote na kuosha. Safisha madirisha na futa vumbi kila mahali. Tafuta kitabu usome. Ingia mtandaoni usome nafasi za kazi, nafasi za masomo, na vitabu. Yaani kutoajiriwa hakukuzuii kuwa busy.
Hapo ukishawaimpress home watakuletea na magazeti daily. Yatapita hayo afu utakuja kujishangaa ulizuzuka na nini kwanza!
Habari zenu wana MMU hii ni mara yangu ya kwanza kuweka post japokuwa nilikuwa mpitiaji mzuri wa mada mbalimbali ktk majukwaa karibu yote ya apa jf kuna tatizo linalonisumbua, muda si mrefu nimeachana na mpnz wangu lkn kinachofanya kuomba ushauri ni kwamba nashindwa kumsahau hasa nikikumbuka mambo mbali mbali tuliyokuwa tunafanya mimi na yeye.
Naombeni ushauri wana MMU nifanyeje ushauri uzingatie mimi nipo tu nymbni bada ya kumaliza chuo iv majuzi ivyo basi nina muda mrefu wa kukaa na kuwaza
duh nisubiri wanne tena hapana Money stunna kwanza nikipona aya maumivu MAPENZİ SİTAKİ TENAmambo ya kawaida utazoea tena bado wengine kama 4 wanakuja na mtaachana. waabadae sana ndio atakuoa
Dah ni ukweli mtupu huwa nakupa good moments tulizoshare na ndo mana nashindwa kumsahautatizo unakumbuka mazuri yake mkuu ndio maana unaumia, kumbuka yale mabaya na maudhi aliyokufanyia na haita chukua muda kumsahau
Dah ni ukweli mtupu huwa nakupa good moments tulizoshare na ndo mana nashindwa kumsahau
MAPENZİ SİTAKİ TENA
Kwanini nimepotoka nielekeze mdogo wako...umepotoka mdogo wangu....
Kwa vile bado hujapata ajira hebu wekeza kwenye gamilia yako. Fanya usafi, toa mapazia hapo kwenu uyafue. Kama kuna mivyombo kabatini haijawahi yumika toa yote na kuosha. Safisha madirisha na futa vumbi kila mahali. Tafuta kitabu usome. Ingia mtandaoni usome nafasi za kazi, nafasi za masomo, na vitabu. Yaani kutoajiriwa hakukuzuii kuwa busy.
Hapo ukishawaimpress home watakuletea na magazeti daily. Yatapita hayo afu utakuja kujishangaa ulizuzuka na nini kwanza!
Nashukuru sana kwa ushauri wako ngoja nianze kuitumia mbinu yako na najua nitafanikiwafanya hivyo nilivyokuambia na utaona matokeo yake kwani hiyo mbinu ambayo sisi wazee na wakongwe ktk mahusiano tulishaitumia, pole kwa yaliyokusibu mkuu wangu
Nashukuru sana kwa ushauri wako ngoja nianze kuitumia mbinu yako na najua nitafanikiwa
Habari zenu wana MMU hii ni mara yangu ya kwanza kuweka post japokuwa nilikuwa mpitiaji mzuri wa mada mbalimbali ktk majukwaa karibu yote ya apa jf kuna tatizo linalonisumbua, muda si mrefu nimeachana na mpnz wangu lkn kinachofanya kuomba ushauri ni kwamba nashindwa kumsahau hasa nikikumbuka mambo mbali mbali tuliyokuwa tunafanya mimi na yeye.
Naombeni ushauri wana MMU nifanyeje ushauri uzingatie mimi nipo tu nymbni bada ya kumaliza chuo iv majuzi ivyo basi nina muda mrefu wa kukaa na kuwaza
Nikutafte kwa njia gani Mkuu mana nahitaji na ushauri wako piapole xana kwa yote ulopitia ila kawa hautojari ntafute 2shauriane
Nashkuru sana mpndwa ushauri wako wote nitaufanyia kaziKwanza kabisa ni lazima ukubali kuwa wewe sio wa kwanza katika mahusiano kuachwa. Wapo wengi kwa hiyo vumilia yataisha tu.
Jambo la pili ni kujishughulisha hata kama kuna ndugu yako ana mashine ya Cherehani jifunze kushona wakati unatafuta kazi nyingine kulingana na elimu yako.
Tatu; soma novels za kawaida lakini sio zinazohusu mapenzi pamoja na magazeti kama una access nayo.
Nne; Kama una picha ulipiga pamoja na huyo jamaa zichane halafu uzitupe na kama kuna messeji nzuri za yaliokuwa mambo yenu umesave kwenye simu yako zifute zote.
Ukifanya hayo yote utakuwa umesahau machungu yote na utaendelea na maisha yako kama zamani.
Pole sana; but I wish u all the best...