great 2012
Member
- Jun 27, 2012
- 23
- 8
Sijui ni kwa nini wanaume wanaendelea kuangukia kwenye huu mtego wa kusomesha mabinti kwa mategemeo ya kuja kuwaoa??? Hivi wapo waliofanikiwa kuwaoa mabinti waliowasomesha??
Hakuna hata mmoja; yupo jaama yangu kasomesha zaidi ya wanne lakini hadi leo ni bachela over 48 yrs sasa!Sijui ni kwa nini wanaume wanaendelea kuangukia kwenye huu mtego wa kusomesha mabinti kwa mategemeo ya kuja kuwaoa??? Hivi wapo waliofanikiwa kuwaoa mabinti waliowasomesha??
mapenzi kakaSijui ni kwa nini wanaume wanaendelea kuangukia kwenye huu mtego wa kusomesha mabinti kwa mategemeo ya kuja kuwaoa??? Hivi wapo waliofanikiwa kuwaoa mabinti waliowasomesha??
Smile, nadhani kuna haja wanaume waelewe kwamba wanawake ni kwa mapenzi, hata ndani ya ndoa, mapenzi yanatakiwa kuchukua zaidi ya asilimia tisini. ukianza kubland mambo mengine unaharibu kabisa, binaadamu anakiu kubwa sana ya mapenzi.mapenzi kaka
\Smile, nadhani kuna haja wanaume waelewe kwamba wanawake ni kwa mapenzi, hata ndani ya ndoa, mapenzi yanatakiwa kuchukua zaidi ya asilimia tisini. ukianza kubland mambo mengine unaharibu kabisa, binaadamu anakiu kubwa sana ya mapenzi.
shule ni kazi ya wazazi jamani, kwani mwanamke ambaye hajaenda shule anatofauti gani na aliyekwenda shule?? na kama shule ni issue mbuna huwa hatureview certificate zao kabla roho zetu hazijawadondokea???
Pet cash umewaza kama mimi lakin pia ngoja nimtetee huyu kaka yawezekana kabisa, huyu binti kapata ujauzito nje na anataka amsingizie tu huyu bwana. miye ningemshauri kama imeshapita miez sita toka waachane basi akonside kuwa hiy mimba siyo yake na ukweli ni kwamba mimmba si jiwe useme itadumu humo tumboni. atulie mtoto azaliwe tu.Let me get this straight...Kama ana ujauzito wako na wewe hukujua ina maana ulilala na huyo mwanamke within 9moths ago...probably less tuchukulie average ni 5months ago. Ulianza uhusiano na mkeo mtarajiwa baada ya kuachana na huyo mwanamke...so mkuu ndani ya 5months ulishamwona, ukampenda, ukamtongoza, ukakuza uhusiano, ukaengage, mkatambulishana nyumbani pande mbili, ukalipa mahari, ukaandikisha ndoa na sasa mipango ya harusi yenyewe? Mbona ndoa za siku hizi zina kazi!
Kama si hivyo basi ulicheat...