Sijui nieleze ukweli kwa mumewe?

Sijui nieleze ukweli kwa mumewe?

Joined
May 18, 2015
Posts
83
Reaction score
95
Wakuu poleni na majukumu
Mdogo Wa mke wangu ameolewa arusha, anaishi huko na mumewe na familia yake

Wiki iliyopita alimuomba ruhusa mumewe kuwa anakuja dar kwa Dada yake yaani kwangu, kwamba Dada yake ni mgonjwa hivyo lazima aje, akaruhusiwa

Cha kushangaza hakua kwangu hiyo wiki nzima in fact kaja Jana, wakati arusha ameondoka wiki nzima iliyopita
Kumbe alienda Moro kwa mchepuko wake amemalizana nao ndo Jana kaja dar
Sasa inaonekana kuna mtu Wa karibu na mumewe kamuona Moro, hivyo
Mume Wa huyu binti ameongea na mke wangu kujua ukweli na ni wazi kwamba hakumuamini mke ktk utetezi

Huyu jamaa mm na yeye huwa haziivi kiviile tunaweza kumaliza mwaka ndo tuonane au kuwasiliane, hujiona matawi ya juu hivyo nikampotezeaga

Tangu Jana jioni wanawasiliana na mke wangu, nawasikia wakizozana sana, sasa wife kamwambia kama haamini mkewe alikua hapo wiki nzima Basi aongee na mimi
Wife anashauri tudanganye tu kuokoa ndoa ya huyu binti ingawa kakosea sana

Sasa wakuu huyu ndugu akinipigia simu niseme uongo kweli? Ni haki hiyo?

Mwaka Jana niliwahi kumuomba huyu binti tufahamiane akakataa, sijui nitumie nafasi hii kufanikiwa hilo jambo?

Lakini pia kama mumewe hatajua jambo hili si huyu binti ataendelea? Tuombe mungu huyu jamaa asiniulize
 
Nipe namba za huyo mdogo wa mke wako nimpe counseling
 
ndorobo wewe....

Unafuga maradhi hapo.subiri na mkeo afanye kama alivyofanya mdogowake na mmemwenzio nae akufiche kama wewe unavyomficha.Unataka jamaa wa watu apelekewe ngoma ili baada uende kumfariji...msaidie mwanaume mwenzio leo yy kesho ww..wanawake tunawapenda ila sio watu wa kuwakumbatia hawa..Funguka mzee
 
''Eti tuombe mungu huyu jamaa asiniulize'' Kweli? uombe na nani kwenye UFUSKA!
 
umekataliwa unataka kutumia nafasi hiyo kufanikiwa ........ungekuwa na busara ungeshirikiana na mkeo kumkanya huyo shemjio kwa jambo analolifanya......yawezekana ndio mambo wanayofanya na dadake (mkeo) ukiona mwenzako ananyolewa nawe jiandae kutia maji
 
kweli? Ni haki hiyo?

Mwaka Jana niliwahi kumuomba huyu binti tufahamiane akakataa, sijui nitumie nafasi hii kufanikiwa hilo jambo?

Lakini pia kama mumewe hatajua jambo hili si huyu binti ataendelea? Tuombe mungu huyu jamaa asiniulize

Ulitaka mla shemejio ukachomolewa…? Au nn maana yake.
Ila cha msingi usiwe reason ya ndoa ya kusambaratika. Akipiga simu kukuuliza maswali mjibu kwa maswali.

Qn.Mke wangu alikuja huko.…?
Jibu. Kwanin wew humuamin mkeo,

Usitoa jibu straight ukashiriki kwenye uongo.
 
Wakuu poleni na majukumu
Mdogo Wa mke wangu ameolewa arusha, anaishi huko na mumewe na familia yake

Wiki iliyopita alimuomba ruhusa mumewe kuwa anakuja dar kwa Dada yake yaani kwangu, kwamba Dada yake ni mgonjwa hivyo lazima aje, akaruhusiwa

Cha kushangaza hakua kwangu hiyo wiki nzima in fact kaja Jana, wakati arusha ameondoka wiki nzima iliyopita
Kumbe alienda Moro kwa mchepuko wake amemalizana nao ndo Jana kaja dar
Sasa inaonekana kuna mtu Wa karibu na mumewe kamuona Moro, hivyo
Mume Wa huyu binti ameongea na mke wangu kujua ukweli na ni wazi kwamba hakumuamini mke ktk utetezi

Huyu jamaa mm na yeye huwa haziivi kiviile tunaweza kumaliza mwaka ndo tuonane au kuwasiliane, hujiona matawi ya juu hivyo nikampotezeaga

Tangu Jana jioni wanawasiliana na mke wangu, nawasikia wakizozana sana, sasa wife kamwambia kama haamini mkewe alikua hapo wiki nzima Basi aongee na mimi
Wife anashauri tudanganye tu kuokoa ndoa ya huyu binti ingawa kakosea sana

Sasa wakuu huyu ndugu akinipigia simu niseme uongo kweli? Ni haki hiyo?

Mwaka Jana niliwahi kumuomba huyu binti tufahamiane akakataa, sijui nitumie nafasi hii kufanikiwa hilo jambo?

Lakini pia kama mumewe hatajua jambo hili si huyu binti ataendelea? Tuombe mungu huyu jamaa asiniulize

Hapo kwenye kumuomba mfahamiane hiyo mwaka Jana unamaanisha nini? Au ulitaka ugegede sasa ndo unataka kuitumia nafasi hii kumpata?
 
Hahahahaha lol! unataka kufahamiana na shemeji yako siyo!? Haya kumbushia hiyi issue ya kufahamiana naye AKA kumvua pichu shemeji yako ili unusuru ndoa yake kwa kusema uongo kwamba alikuwa kwako kwa wiki nzima kumbe alikuwa Jiji kasoro bahari akila maraha na mchepuko wake. Usichonge mzinga tu maana munoja utamu haonji mara moja.

Wakuu poleni na majukumu
Mdogo Wa mke wangu ameolewa arusha, anaishi huko na mumewe na familia yake

Wiki iliyopita alimuomba ruhusa mumewe kuwa anakuja dar kwa Dada yake yaani kwangu, kwamba Dada yake ni mgonjwa hivyo lazima aje, akaruhusiwa

Cha kushangaza hakua kwangu hiyo wiki nzima in fact kaja Jana, wakati arusha ameondoka wiki nzima iliyopita
Kumbe alienda Moro kwa mchepuko wake amemalizana nao ndo Jana kaja dar
Sasa inaonekana kuna mtu Wa karibu na mumewe kamuona Moro, hivyo
Mume Wa huyu binti ameongea na mke wangu kujua ukweli na ni wazi kwamba hakumuamini mke ktk utetezi

Huyu jamaa mm na yeye huwa haziivi kiviile tunaweza kumaliza mwaka ndo tuonane au kuwasiliane, hujiona matawi ya juu hivyo nikampotezeaga

Tangu Jana jioni wanawasiliana na mke wangu, nawasikia wakizozana sana, sasa wife kamwambia kama haamini mkewe alikua hapo wiki nzima Basi aongee na mimi
Wife anashauri tudanganye tu kuokoa ndoa ya huyu binti ingawa kakosea sana

Sasa wakuu huyu ndugu akinipigia simu niseme uongo kweli? Ni haki hiyo?

Mwaka Jana niliwahi kumuomba huyu binti tufahamiane akakataa, sijui nitumie nafasi hii kufanikiwa hilo jambo?

Lakini pia kama mumewe hatajua jambo hili si huyu binti ataendelea? Tuombe mungu huyu jamaa asiniulize
 
Last edited by a moderator:
Mawazo yako tuu wala hawezi kukupigia simu..!

Unajua kwanini????
Ni-PM kwanza namba za huyo bibie ndo nikwambie.
 
Ma'man Kane once preached to get it any type of way, but also to stop with the bull, less is profitable.
 
Nashangaa hapo unapotaka kuongeza kosa juu ya kosa, Halafu kwa mdogo wa mkeo.
 
Hata mkeo ni kitu kimoja na huyo mdogo wake! in short and clear wote ni malaya mkeo na mdogo wake!
 
Maelezo yako yanaonyesha mlivyofanana nyote watatu, yaani wewe na mkeo na shemeji yako.. Shemeji yako haeshimu ndoa yako na dada yake (right so kwa sababu amegundua wewe shemeji yake ni mcharuko) so haogopi kukuingiza kwenye equation yake ya zinaa kwa kuwageuza wewe na mkeo kama viza ya yeye kutoka kwa mumewe na kwenda kuchepuliwa huko Morogoro

Mke wako haeshimu ndoa yako na yake kwa kuwa amekubali ndoa yake kutumika kama chaka la kumfichia maovu mdogo wake huku akikuburuta na wewe vile vle..

Na wewe ndo kabisa umeshindwa kuheshimu ndoa yako kiasi cha kumtongoza shemeji yako kabisa mdogo wake mke wako, na sasa unataka kutumia kadhia aliyonayo ili ufanikishe azma yako potofu..

Na kwa sababu nyie wote watatu mna tabia zinazofanana basi kaa ukijua hata huyo mkeo watu wanakula mzigo..
 
Kimsingi tayar umeshamwambia jamaa ukweli kupitia hii forum. Maana umeeleza jamaa anakoishi, mchepuko wa shemeji yako uliko na mahali unapoishi wewe. Kwahiyo mwenye mke akisoma tu, moja kwa moja atajua ukweli. Baada ya kusoma hapa hatahitaji hata kukupigia simu.
 
Sio akili ya kuwa kwenye ndoa hii.
 
Hata mkeo ni kitu kimoja na huyo mdogo wake! in short and clear wote ni malaya mkeo na mdogo wake!

Ni wazi kuwa huyo shemejio alishapanga na mkeo kuwa ana mishe mishe zake Moro ila ataaga kuwa yuko kwenu NA MKEO ambaye ni dada yake HAKUTHUBUTU KUMKATAZA MDOGO WAKE. Wanajuana hao.... wako kundi moja na wewe iko siku utaagwa safari ya Arusha kumbe anakwenda Kigoma.
 
Dah kweli ndoa za kizazi hiki ni shidaa....mwingine kampa mimba house girl, ww unatongoza mdogo wa mke wako..alafu likibumbuluka unakimbilia jf kuomba ushauri...ndooorooooboooo weyeee!
 
Back
Top Bottom