Kweli hanifai huyuHakuna mume apo dada ameshindwa kusaidia tens ukiwa natatizo si kama unamuomba kilasiku uyo sie inaelekea atamapenzi ya dhati hana yee anataka amwage aishie lakini wazo lakuwa naww or kujua km unamahtaji hakna mijianadume dizain hiyo ndi
o yale yanayomegewa mpotezee
Mkuu karne hii hakuna papuchi ya pekee yako....yako ukiwa nayo kitandani tu.....akikupa kisogo.....watu wanadandia gari.......ndio maana now days papuchi hazina ladha yaani kama unakunywa maji vile.......imagine unakuta papuchi moja per day inameza madushe karibia manne je utamu utatoka wapi.....?????........ndio maana naonaga bora nipige punyeto tu muda mwingine......mkuuu.....
njoo pm nikunong'onezeHODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa.
Miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono, sasa nimechoka, natamani mwenza angalau na mimi nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwezi kumuita mchumba.
Tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwahi kupata tatizo nikamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yaani alinifokea kama mtoto mdogo eti mimi napenda pesa, sasa nikamchoka.
Nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielewi kama na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaidi?
Naombeni ushauri
Umesahau kuwa ww ndo baba yng ulinkimbia?
Ha haaaaaaaaaa, hongera
HODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa.
Miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono, sasa nimechoka, natamani mwenza angalau na mimi nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwezi kumuita mchumba.
Tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwahi kupata tatizo nikamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yaani alinifokea kama mtoto mdogo eti mimi napenda pesa, sasa nikamchoka.
Nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielewi kama na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaidi?
Naombeni ushauri
Mmmmhhhhhh!Tateeee,
Wahiwahi kule kwenye pm wengine wameshtukia dili walishaanza usumbufu ila roho mtakavitu amekuangukia wewe
unataka kubishana wewe si kuelimika na michango yetu.Umesahau kuwa ww ndo baba yng ulinkimbia?
pole mpenzi,i wish niwe wa kwanza kuonja hiyo bikra,much love
Hahah yani ulivyoona birika tu umepagawa had I unamuita mupenz sikuwezi, na akikupa uwe unamtoa zaidi ya hio buku tano
Hujielewi!!!!
HODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa.
Miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono, sasa nimechoka, natamani mwenza angalau na mimi nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwezi kumuita mchumba.
Tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwahi kupata tatizo nikamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yaani alinifokea kama mtoto mdogo eti mimi napenda pesa, sasa nikamchoka.
Nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielewi kama na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaidi?
Naombeni ushauri
Hahahaa kwel unapenda pesa ukamuacha mwenzako kwa sabababu alikunyima 5000/=