issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,858 Reaction score 12,767 Dec 21, 2016 #21 kwa hali hii mademu wote wazuri wa mjini utaishia kuwaita shemela
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Dec 21, 2016 #22 Bufa said: Sababu inaonekana unakimbia sehemu za matumizi Click to expand... Si kila anaefanya hayo ana pesa, ni mpangilio tu wa maisha alioamua kuufuata mtu. Na ndio sababu wengi utawasikia wakilalamika kuwa wamefulia baada ya sikukuu, sherehe ya birthday au kukesha Club.
Bufa said: Sababu inaonekana unakimbia sehemu za matumizi Click to expand... Si kila anaefanya hayo ana pesa, ni mpangilio tu wa maisha alioamua kuufuata mtu. Na ndio sababu wengi utawasikia wakilalamika kuwa wamefulia baada ya sikukuu, sherehe ya birthday au kukesha Club.
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Dec 21, 2016 #23 issac77 said: kwa hali hii mademu wote wazuri wa mjini utaishia kuwaita shemela Click to expand... Wanawake wa mjini unawakamata hata kwenye traffic lights, mradi tu usafiri wako uwe unaeleweka na uwe unajua lugha za alama.
issac77 said: kwa hali hii mademu wote wazuri wa mjini utaishia kuwaita shemela Click to expand... Wanawake wa mjini unawakamata hata kwenye traffic lights, mradi tu usafiri wako uwe unaeleweka na uwe unajua lugha za alama.
certified mdokozi JF-Expert Member Joined Jan 20, 2016 Posts 1,402 Reaction score 816 Dec 21, 2016 #24 Starehe Yako itakuwa kifo pekee usijar enjoy usingiz kwasasa starehe itakuja tu
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,493 Reaction score 29,892 Dec 21, 2016 #25 In short umezaliwa na hormones nyingi kupitiliza za unoko! Tafadhali sana, naomba Ualimu isiwe career yako manake si kwa unoko huo!
In short umezaliwa na hormones nyingi kupitiliza za unoko! Tafadhali sana, naomba Ualimu isiwe career yako manake si kwa unoko huo!
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Dec 21, 2016 #26 Mbojo said: Hayo mambo hayana starehe! Ni utumwa flani hivi ambao wanaotumikishwa hawajui kama wapo utumwani.Hongera kwa kuwa huru. Click to expand... Halafu unakuta mtu mishipa ya shingo imemtoka anafuatilia matamasha ya muziki, kila sehemu anataka aende. Na akishindwa kwenda, atakavyougua sasa!
Mbojo said: Hayo mambo hayana starehe! Ni utumwa flani hivi ambao wanaotumikishwa hawajui kama wapo utumwani.Hongera kwa kuwa huru. Click to expand... Halafu unakuta mtu mishipa ya shingo imemtoka anafuatilia matamasha ya muziki, kila sehemu anataka aende. Na akishindwa kwenda, atakavyougua sasa!