karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 423
safi mkuu sana kiongozi endelea na hyo hyo tabia,,tabia zingine zinapelekea matumizi ya pesa kua mabovu,,upo sawa na mm mkuu mm starehe yangu ni kucheki movie,,na mpirahabari zenu wakuu mimi kifupi hua najishangaa sana najiona labda niko tofauti na wenzangu, sijali hata siku yangu ya kuzaliwa na mara nyingi hua inapitiliza hata bila kujielewa sina starehe yyt sio mtu wa disco beach sinywi pombe sivuti sigara sipendi kula kula sipendi kila papuchi kifupi cjui napenda nini kunasiku jamaa yangu mmoja alinipeleka sehem walikuwepo hawa wanamuziki wa kizazi kipya ukweli niliyo yaona nikaapa sirudi tena ni upuuzi mtupu nikawa nawaza naona wenzangu wanacheza na kufurahi, nikajiulizaaa pesa nitoe mimi na ku cheza nicheze mimi huku si kujichosha bure bado tunaambiwa mikono juu mikono kama mateka wa kivita dah iliniuma saana maraa tuimbe wote kwa pamoja sasa ww msanii au sisi wasanii iliniuma sana kukosa usingizi wangu cjawahi kurudi tena sasa wadau sijui mimi mshamba au mana sisi wasukuma huitwa washamba kila sehem
Asante mkuu bac mimi nilikua nafikir labda ni USHAMBA wangu mkuu bora tuko wengisafi mkuu sana kiongozi endelea na hyo hyo tabia,,tabia zingine zinapelekea matumizi ya pesa kua mabovu,,upo sawa na mm mkuu mm starehe yangu ni kucheki movie,,na mpira
Hongera mkuu bora kupunguza matumiz ambayo hayana maanaKwenye birthdays na club, hauko peke yako, wengine huwa tunakumbushwa na wake zetu. Birthday pekee nayoikumbuka bila kukosa nivya Baba yangu, huyu jamaa huwa nakumbuka sana siku yake ya kuzaliwa maana namjali sana. Kanitoa mbali sana na ni msingi wa kila nachokijua.
Yangu ni kusaka pesa, kuhesabu noti zangu na kubuni njia mpya za kuzitengeneza. Hakuna kitu nachokipenda kama mlio wa ATM machine ikiwa inaanza kutoa pesa zangu au ninapoamka asubuhi nikiwa na ahadi ya kwenda kupokea pesa.safi mkuu sana kiongozi endelea na hyo hyo tabia,,tabia zingine zinapelekea matumizi ya pesa kua mabovu,,upo sawa na mm mkuu mm starehe yangu ni kucheki movie,,na mpira
Una tatizo kubwa sana la Social Deficiency Disorder(SDD).habari zenu wakuu mimi kifupi hua najishangaa sana najiona labda niko tofauti na wenzangu, sijali hata siku yangu ya kuzaliwa na mara nyingi hua inapitiliza hata bila kujielewa sina starehe yyt sio mtu wa disco beach sinywi pombe sivuti sigara sipendi kula kula sipendi kila papuchi kifupi cjui napenda nini kunasiku jamaa yangu mmoja alinipeleka sehem walikuwepo hawa wanamuziki wa kizazi kipya ukweli niliyo yaona nikaapa sirudi tena ni upuuzi mtupu nikawa nawaza naona wenzangu wanacheza na kufurahi, nikajiulizaaa pesa nitoe mimi na ku cheza nicheze mimi huku si kujichosha bure bado tunaambiwa mikono juu mikono kama mateka wa kivita dah iliniuma saana maraa tuimbe wote kwa pamoja sasa ww msanii au sisi wasanii iliniuma sana kukosa usingizi wangu cjawahi kurudi tena sasa wadau sijui mimi mshamba au mana sisi wasukuma huitwa washamba kila sehem
Wewe unajuaje mkuu na mtu kua na pesa anatakiwa awajeHuna pesa ukizipata za kutosha utajua tabia yako ya kweli.
Sababu inaonekana unakimbia sehemu za matumiziWewe unajuaje mkuu na mtu kua na pesa anatakiwa awaje
Ndiyo maana yake. Mambo mengine ni kujipotezea muda na rasilimali tunazotafuta.Hongera mkuu bora kupunguza matumiz ambayo hayana maana
Hahahah mkuu hua sina kawaida ya kujaribu vitu ambavyo havina ulazima kwenye mwili wangu labda dawa pekeeUna tatizo kubwa sana la Social Deficiency Disorder.
Kunywa bia mbili asubuhi, mbili mchana na mbili usiku.
Utapona tu.
Dah pole sana mkuuNdiyo maana yake. Mambo mengine ni kujipotezea muda na rasilimali tunazotafuta.
Mimi nikiwa na hamu ya kujiliwaza, naweza kuchukua watoto wangu na kwenda nao beach au kuchinja mbuzi na kualika ndugu na marafiki bila sababu yoyote. Siku hiyo nitanunua vinywaji na chakula kitapikwa na tutazungumza mpaka basi tukiburudika na mziki.
Sipendi kucomplicate mambo na swala la Club, sijawahi kulipenda kabisa.
Kuna wakati Nilikuwa kwenye kanchi fulani ka jumuiya ya schengen ambako club ni kama utamaduni wao. Nikaokota mdada mmoja wa kizungu ambae club ilikuwa kama dini kwake, aisee Niliona kama adhabu. Maana mnajirusha karibu kila siku na hakubali ubaki home peke yako kwa kuhisi utatongoza majirani, basi maisha yalikuwa pombe, club, club,pombe. Sitasahau.
So glad to hear that mkuu.looh afadhali,kumbe sio ugonjwa ni upeo tu mkubwa...am on ur team guys...
Sijutii na naichukulia kama changamoto iliyonisaidia kuongeza ufahamu wangu wa mambo.Dah pole sana mkuu
I nawezakana kweli labda nikawa cna pesa mkuu lakin najiuliza au fuatilia wengi wanao penda mambo hayo ni wa kipato cha Kati kama mimi na wengine hawana kabisa mkuuSababu inaonekana unakimbia sehemu za matumizi
Sio mshamba ila ni mazingira uliyokulia, kifupi uwe tu na furaha ya moyo basi.habari zenu wakuu mimi kifupi hua najishangaa sana najiona labda niko tofauti na wenzangu, sijali hata siku yangu ya kuzaliwa na mara nyingi hua inapitiliza hata bila kujielewa sina starehe yyt sio mtu wa disco beach sinywi pombe sivuti sigara sipendi kula kula sipendi kila papuchi kifupi cjui napenda nini kunasiku jamaa yangu mmoja alinipeleka sehem walikuwepo hawa wanamuziki wa kizazi kipya ukweli niliyo yaona nikaapa sirudi tena ni upuuzi mtupu nikawa nawaza naona wenzangu wanacheza na kufurahi, nikajiulizaaa pesa nitoe mimi na ku cheza nicheze mimi huku si kujichosha bure bado tunaambiwa mikono juu mikono kama mateka wa kivita dah iliniuma saana maraa tuimbe wote kwa pamoja sasa ww msanii au sisi wasanii iliniuma sana kukosa usingizi wangu cjawahi kurudi tena sasa wadau sijui mimi mshamba au mana sisi wasukuma huitwa washamba kila sehem