Platnum Venance
Member
- Oct 23, 2012
- 6
- 2
Jamaa fulani alimuita dem bar kiroho safi dem akaitikia wito alipofka akamuuliza "umeniita hapa ila sijui una shida gani" jamaa nae akamjibu "nataka kukutongoza ila nasubiri mpaka ulewe" ......ha ha ha ha ha ha ha ha je umeipenda???....
Ha ha haaaa jamani kwa kweli kutongoza ni kazi sana ila mie ningekuwa mkaka ningewapata sana wadada maana nina mbinu nazijua za kuweza kuwatongoza wakaingia line ila ndo hivyo nimebarikiwa kuwa mdada.... Amen