Sijui ni mimi tu au kuna wengine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui ni mimi tu au kuna wengine?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkodoleaji, Feb 10, 2011.

 1. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani CCM ndiyo chama tawala kwa Tanzania hilo halina ubishi. Lakini mwenendo wa siku za hivi karibuni kweli unanitisha.
  1. Kila mara kiongozi wa CCM anaposimama kuongea yaani anaoongea vitu ambavyo vinakera mpaka huelewi kama huyo kiongozi alishawahi kwenda shule
  2. Nimeangalia vipindi vya bunge toka juzi lakini kila mara Mbunge wa CCM anaposimama anachoongea kinakera zaidi.

  Yaani natamani ningekuwa na uwezo wa kuwafanya hawa jamaa wa CCM wasiwe chama tawala ili wapate busara japo kidogo. Hivyo ndivyo ninavyojisikia sijui kama kuna wengine (yaani mpaka mtu unalaani kuwa Mtanzania)
   
 2. g

  geophysics JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole kaka ndio maisha...waache waendelee kutesa ...Lakini siku zao zinakaribia..kuna siku watarudi shule na kusoma wakaelewa kuwa watanzania si wajinga ki hivyo....
   
 3. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wabunge wa CCM ni mchanganyiko wa Uoza kama Mfereji wa maji machafu paleBonde la Msimbazi.

  Kuna wenye vyeti vya kufoji.

  Kuna wasomi wenye kiburi cha shule

  Kuna Ngumbaru

  Kuna wachawi na waganga wa kienyeji.

  Kuna Wahuni wa mitaani.

  Kuna Wezi majmbazi wauaji na Wabakaji.

  Kuna Washirikina.


  Kuna wassenge na Wasagaji.

  Kuna Mabasha.


  Kuna Malaya wa kutupwa

  Kuna waungwana wawili watatu

  Kuna chcochote cha maana utegemeacho kutoka kwenye kambi yenye mseto kama huo hapo juu?
   
 4. r

  rmb JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Duh kwa huu mchanganyiko ungekuwa ni chakula, ukila lazima tumbo litaharibika tu! Na hali halisi iliyopo kwenye chama inaonyesha hili linaukweli mtupu!
   
 5. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  same applies to chadema
   
 6. k

  kiparah JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0


  Du!
   
 7. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  CCM si akina Kibonde. Jana nimerudi hm jioni. Kuwasha TV bungeni anaongea Chilolo, ameongea pumba za kumsafisha na kumpamba JK, pale... uchafu tupu.. alipoongea Lema na Wenje you could easily discern the two lines of thinking.
   
 8. N

  Nanu JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lakini sisi tunaoangalia kama tuna akili basi tupembue kati ya mchele na pumba.
   
 9. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,898
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  and you!
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuuu!
   
 11. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,672
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Jibu la kitoto kabisa hilo, inaonyesha unakubaliana kabisa na yaliyosemwa ila kwa sababu ukweli unauma ndio umeamua utoe jibu hilo
   
 12. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hii ni sample tu !! kama sample yenyewe ndo hiv unategemea nini ??

  1. Captain Komba - analala bungeni, akukulupushwa usingiz unategemea ataongea nini?
  2. Rostam Aziz -mwiz mwiz tu, yeye afikilia kuiba tu.
  3. Abood wa Moro- Elimu form4. upstairs hamna ktu kisiasa, ye zake biashara tu.
  4. Nyarandu -mtu wa totoz
  5. Lukuvi - kihiyo, kafoji vyeti
  6. Mama Rwakatale- mlafi,mbinafsi kila kitu ataka yeye.
  7. Viki kamata- mmh..sisemi hapa...!
  8. Rita Mlaki -muuza sura, tetesi; yupo kimaslahi binafsi tu.
  9. Makongolo -fisadi, kihiyo
  10. Idi Azan -kihiyo
  11. Zungu -tetesi; muuza unga
  12....
  13....
  14....

  mwenye data aendeleze hii sample!
   
 13. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,672
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Hukerwi peke yako ndugu ukute mimi ni zaidi, naona tuendelee kuwaunga mkono wanasiasa wazalendo bila kukata tamaa ipo siku kitaeleweka tu.
   
 14. n

  ngoko JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usishangae hiyo ndiyo Level ya busara na imechujwa kwenye kamati ya chama, hivyo usingekuwa mchujo sijui ingekuwaje !!!!
   
 15. P

  Preacher JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  same applies to chadema

  CHADEMA unawajua lakini??? kamwulize JK - atakueleza ............. hadi leo HAIBA YAKE HAIJARUDI - LILE TABASAMU LA 2005 - KWISHNEY
  akiwaza CHADEMA ..............halali usingizi .........kama huamini .........nenda KAMWULIZE
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nadhani Mungu sii mchoyo wa wapenda haki. Ameruhusu CCM wamweke mama makinda ili bunge liharibike kabisa na lisiwe na mwelekeo hapo wengi watafumguliwa akili zao, uozo mwingi utajulikana, CCM wataparaganyika, watapigana bungeni live, JK atateuwa Waziri Mkuu mpya,wengi wa mawaziri watatoka,bunge litamkataa Makinda kwa ukilaza wake, atarudi Mzee Sita na baade katiba itaundwa umpya mambo mengi yatakuwa sawa nina imani hiyo nimeona maono kama (Raven) kwa wanaongalia Thats So Raven.Yangu macho.
   
 17. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hapo nilipo-color iko wazi kweli kweli.
  Lakini raisi wa ukweli, Dr Slaa, ameendelea kuwa na uso wa matumaini, na amezidi kuonekana kijana pamoja na kuchakachuliwa uraisi.
   
Loading...