Sijui ndoto yake itatima?

Wakina Asha Rose Mtengeti nao walianza hivi hivi!!!
 
Pinda wa kesho huyo
 
tulitoka huko huko.. itategemea wazazi wake pia support gani watampa
 
Mbona wengi ndoto zao zimetimia...na wapo kulikoni !!
Mungu mwema huumpa ampendaye na humyima ampendae.
 
Siri ya maisha ni kubwa sana na hakuna ajuaye kesho yake bali Muumba wa mbingu na ardhi pekee,kila la kheri dogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…