oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
habari ya asubuhi wana jf,nilikua nataka kutoa usb cable kwa pc yangu kutumia ile safe remove of device,sasa nikaclick kitu kingne nika kiremove,kuja kuangalia kwenye my computer kumbe nimeremove ile icon ya cd,yan haipo,nikajaribu kufungua pale pa kuwekea cd hapafunguki,je nifanyaje kukirudisha?msaada jaman