Sijui mtego huu?

Mhh kuna mikasa mingine ngumu kweli kuamin,,,wadada wanavyopenda ela leo et umgegede il usimlipe looh ,,,aya bana kamgegede mkuu
 
lakini utafute hela usitafte sababu ya kuchepuka bdae ukaanza kujuta

Nikishindwa inabidi tu vingezo vizingatiwe...wasi wasi wangu inaweza kuwa ndio sitatoka kabsaaa na tatizo litakuwa limeongezeka maana anaweza tishia kupasua kwa mwenye mali
 
Mmh sio ndio nitaongeza tatizo afu nikikumbuka alivyonisisitizia kuwa ole wangu niseme kwa mtarajiwa wangu..sijui anajiamini nini yule binti aah

Mtoto wakiume unapigwa mkwara na kabinti ... halafu unatetemeka??!
Hunaga ...una lako jambo kama hii story hujazua bahati..
 
Mrs Kharusy
Sina jambo lingine...
Sikutegemea, maana anavyojiamini kidogo niliogopa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa Hiyo umesha do ? Mbona humalizi story
 
Sina jambo lingine...
Sikutegemea, maana anavyojiamini kidogo niliogopa.

Ndio ujiulize sasa maconfidence yote hayo kayatoa wapi.. Kuonana yenyewe siku moja!! ..... Epuka UKIMWI michepuko sio dili...
 
Story ya kutunga, na umeshindwa kuitunga vizuri,
mpaka taa inavunjika ni kishindo kiasi lazima kitokee, halafu yeye dem awe yupo tu eti amekaa kwenye gari halafu we ndo uende umgongee kioo afungue kana kwamba hakuna kilichotokea!! Tehe teheeee!! Hongera Bosi.
 
Mchumbako na huyu dada wa mark x wamekuandalia mtego mkubwa rafiki! Lipa madhara kwenye mark x ya mdada, achana na mapenzi - unless perhaps you want to drop your fiancee. Huo ndio ushauri wangu best angu!
 
Ndio ujiulize sasa maconfidence yote hayo kayatoa wapi.. Kuonana yenyewe siku moja!! ..... Epuka UKIMWI michepuko sio dili...

Oohshuuu sina namna nyingine ni kukwepa tu.. Shida ni rafiki wa mchumba wangu siku wanaweza kuja pamoja kwangu hapo ndio pananiwazisha, sijui nimpige mkwara mchumba wangu wavunje urafiki na huyo shosti ake? Lakini atataka sababu... Namwambia nini?
 
@matamba1 kama bado u-hai basi fuata ushauri huu!

Hakuna haja ya kusema kwa mchumba wako...hiyo ni tabia ya kike! Solve it as a man...she wanted to play bad...play worse!!!!
 
Kumbuka yeye anaijua gari yangu kwani mara nyingi mchumba angu huwa anaitumia.
 
Mchumbako na huyu dada wa mark x wamekuandalia mtego mkubwa rafiki! Lipa madhara kwenye mark x ya mdada, achana na mapenzi - unless perhaps you want to drop your fiancee. Huo ndio ushauri wangu best angu!

Ahsante mkuu kwa kuliona hilo tayari nimeshaanza kuchangachanga ili nimpigie simu kabla hajanitafuta
 
@matamba1 kama bado u-hai basi fuata ushauri huu!

Hakuna haja ya kusema kwa mchumba wako...hiyo ni tabia ya kike! Solve it as a man...she wanted to play bad...play worse!!!!

🙂🙂 chief unataka nitumie kanuni ya kama mbwayi mbwayi tu..,haa kujizila huko
 
Oohshuuu sina namna nyingine ni kukwepa tu..,shida ni rafiki wa mchumba wangu siku wanaweza kuja pamoja kwangu hapo ndio pananiwazisha,sijui nimpige mkwala mchumba wangu wavunje urafiki na huyo shoti ake lakini atataka sababu...namwambia nini?

Umwambie ukweli...uongo wa nini??
Kwani umezua hadi uogope??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…