Sijui kwenu

Sijui kwenu

dada kamtaka kaka na kaka naye kasema ondoa shakaaa!!!!!!

dah..na ushuanii ndo zipo sana hizi ndani ya mageti makali.dada na kaka ku.........mpaka mimba dah
 
Aisee, kuna makabila mengine ya raha sana. Mie kabila yangu binamu kama ni wa kiume ni mjomba akiwa wakike ni mama tena unaamkia kabisa shikamoo haijali ni ana miezi miwili, au mwaka maadamu ni ujombani haiswii kabisa.
 
Back
Top Bottom