Kutamani unataka kummega tu udenda unakutoka kama fisi kapokonywa nyama, lakini hauko tayari kumuoa akijaribu kugusia tu unatokwa povu ile mbaya
ukimpenda utataka ashiriki mema yote uliyonayo wewe na kumhakikishia furaha na amani duniani,kujitoa kwa
ajili yake kwa lolote pamoja na kumuoa kabisaaa,ndiyo maana ni vema kuwa na mke mmoja tu maana huwezi
wapenda wote.