masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,798
- 16,811
kimbau mbau umenenepa umekua kitukunyema
kkkkt=kimbau mbau kanenepa kawa tukunyema
kimbau mbau umenenepa umekua kitukunyema
Si vizuri kumwambia mwanamke
umenenepa.Kwani wanawake wengi hawapendi unene,Mwambie umebarikiwa ahh
atafurahi sana
Mi ukiniambia kweli ntashukuru zaid ila vitambi vngne kdr umr unaposogea kwa mwanamke vinakuja ukizingatia aina za vyakula vyetu. Jamani mi nilikuwa mwembamba kama mgonjwa wa ugonjwa flan hivi but ukiniambia sasa nini kimeninenepesha xjui na hizo castle light sinywi!
pole mpenzi
nshapoa haswa pale naporudi nyumbani na kuitwa mama uku nikipokelewa na tabasam lake zito......