Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Nimerudi mkuu pitia huu uzi nimetoa ufafanuzi https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1310986/Mkuu, ahsante kwa kuja. Ingependeza ukatujuza kilikusibu nini hadi ukawa kimya, baadhi ya watu wakawaza tofauti.
Binafsi nimefurahi sana kuona post yako tena mdau.
Notednyoka ni reptilia mkuu sio amfibia.
nyoka huwa wanaogopa watu zaidi ya wewe isipokuwa chatu tu.
pia usijifanye mjanja kumuua nyoka kabla hujajua ni nyoka gani au hauna ujuzimaana wengine wakikuuma kama ukikosea timing dakika 30 ni nyingi utakuwa hayati wa JF.
Nilmpasua hata mie advance ila ilikuwa shughuli kwa kweli bahati nzuri mtihani wa mwisho tuliletewa mendeTeh hadi chura! Huyo twampasua kwa practical wewe wamuogopa!!
Huu ndiyo ujuha haswaLabda "anang'atwa" kila mara hapati muda wa kupumzika, si umeona kuna sehemu amesema tangia ameenda huko alipo anakutana tu na "nyoka" hadi imefikia mahali usiku anaota majoka majoka tuu! hahahahahahahahahaha
Pole[emoji23] [emoji81] [emoji81]Kama Mimi Ile ngozi yake siwezi hata kuangalia plus chura kinyonga mjusi hawa wananikosesha raha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
alaa kumbeKiswahili kigumu sana. Me najua reptile, amphibians n insects wote wadudu
hata bibi alikuwa binti.
Pamoja mkuuNimeshajua upo Arusha
hata bibi alikuwa binti.
Egyptian cobra (Naja haje) huyu nae ni hatare sana cleopatra alujubali yaishe kwa huyu kiumbeKatika wanyama wote nawapenda nyoka
Naanza mchakato wa kufungua zoo ya nyoka tu
Aina zote maana kwa Tanzania tu wapo zaidi ya aina 300
Hata huyu utaogopa kumshika
Ukiona ivo ujue wewe ndani yako kuna ROHO nyingine, tuseme UNA MAPEPO.Habari zenu wadau/washikadau
Kuna huyu mdudu anaitwa nyoka nikimuona huwa nashituka kama nadondoka kwa shimo la futi mia. Awe mdogo Mkubwa mkali ama hawa wanaoitwa kibisa yani nashituka vibaya. Naweza kushambulia ingawaje kwa ujasiri mdogo sana, sasa toka juzi nimefika hapa Gomba kila siku lazima nikutane na joka yani utafikiri wanajua nawaogopa. Kwa hofu niliyonayo kwa nyoka nahisi ntapata bp aisee, kwa sababu kutoka hapa ni baadae sana kila nikikaa alone zinakuja mapicha majoka..nimechoka manzee
wadudu mi nimezoea ni wale wadogowadogoNdiyo[emoji2]
hata bibi alikuwa binti.