Hata nikikuta mzoga mahali nasisimka kinoma. Wewe hadi kula umekula,Ila nafikiri hukujua kama ni nyoka kablaWewe ni me?Umeoa mkuu? sasa kama unaogopa wife itakuwaje? anyway nyoka ni mboga tu na akikuuma sio kifo cha papo hapo kuna dawa nyingi tu. Ni menu tamu sana nilikua sijui mpaka nilipokula bila kujua China, na nikawa naagiza kabisa lete msosi "snake in the monkey's shadow"
Hivyohivyo amphibia'Amphibians' wanaitwaje kwa kiswahili? Tusaidiane
hata bibi alikuwa binti.
Mkuu Joseverest umerudi? Karibu mkuu seat yako ya Kwanza watu walikushikia kwa muda. Vipi ulipotelea wapi mkuu?Hivyohivyo amphibia
nyoka ni reptilia mkuu sio amfibia.'Amphibians' wanaitwaje kwa kiswahili? Tusaidiane
hata bibi alikuwa binti.
Unaongelea Nyoka gani? maana kwa wataalamu wa fasihi wanamtaja Nyoka kama kiungo Fulani hivi kwenye mwili wa mwanaume!πππππππ
Labda "anang'atwa" kila mara hapati muda wa kupumzika, si umeona kuna sehemu amesema tangia ameenda huko alipo anakutana tu na "nyoka" hadi imefikia mahali usiku anaota majoka majoka tuu! hahahahahahahahahahaIngekuwa hivyo hasingemwogopa kibisa.
Mkuu, ahsante kwa kuja. Ingependeza ukatujuza kilikusibu nini hadi ukawa kimya, baadhi ya watu wakawaza tofauti.Hivi kumbe nyoka siku hizi ni mdudu...aisee
Teh hadi chura! Huyo twampasua kwa practical wewe wamuogopa!!Kama Mimi Ile ngozi yake siwezi hata kuangalia plus chura kinyonga mjusi hawa wananikosesha raha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh hadi chura! Huyo twampasua kwa practical wewe wamuogopa!!Kama Mimi Ile ngozi yake siwezi hata kuangalia plus chura kinyonga mjusi hawa wananikosesha raha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app