Sawa. Pia inafaa tuwe makini sana na kuzingatia onyo/angalizo la cdf.Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January , Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.
Kati ya Majaliwa na Biteko… nitampa Bitteko.
Enzi ya Mwalimu, Rais wa JMT alikuwa anaandaliwa, huyu Biteko anastahili kuandaliwa kuwa Rais ajaye endapo tu tunaitakia mema TZ. Tofauti na hapo mtakuwa na miaka mingine 15 ya kula chumvi.
Biteko ni msomi mzuri sana katika level ya PhD ya darasani na sio ya kutunukiwa.
Pia ni mtaratibu na ni muadilifu, na ni mzawa wa kweli kabisa.
Ukiitazama picha ya Biteko, itizame mara 3 , ni lazima utauona urais usoni mwake.
Kila nikimtazama namwona kama mgeni.Kafanania sana kule kwa kagame.Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January , Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.
Kati ya Majaliwa na Biteko… nitampa Bitteko.
Enzi ya Mwalimu, Rais wa JMT alikuwa anaandaliwa, huyu Biteko anastahili kuandaliwa kuwa Rais ajaye endapo tu tunaitakia mema TZ. Tofauti na hapo mtakuwa na miaka mingine 15 ya kula chumvi.
Biteko ni msomi mzuri sana katika level ya PhD ya darasani na sio ya kutunukiwa.
Pia ni mtaratibu na ni muadilifu, na ni mzawa wa kweli kabisa.
Ukiitazama picha ya Biteko, itizame mara 3 , ni lazima utauona urais usoni mwake.
Hawa umewaokota wapi? Unadhania ktk waTz 60m+ ni wanne tu wanastahili hiyo ofisi?Ukiweka uchawa kando, na ukapewa
Biteko Majaliwa Nape Mwigulu January
Utampa nchi nani
Hakuna loloteKama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January , Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.
Kati ya Majaliwa na Biteko… nitampa Bitteko.
Enzi ya Mwalimu, Rais wa JMT alikuwa anaandaliwa, huyu Biteko anastahili kuandaliwa kuwa Rais ajaye endapo tu tunaitakia mema TZ. Tofauti na hapo mtakuwa na miaka mingine 15 ya kula chumvi.
Biteko ni msomi mzuri sana katika level ya PhD ya darasani na sio ya kutunukiwa.
Pia ni mtaratibu na ni muadilifu, na ni mzawa wa kweli kabisa.
Ukiitazama picha ya Biteko, itizame mara 3 , ni lazima utauona urais usoni mwake.
Kakwambia nani mfumo haumkubali, na huo mfumo ndio takataka gani?Biteko ni kishoia hana mbinu za kumuweka pale na bahati mbaya mfumo haumkubali
Umemaliza.OMG! Biteko hana akili wala hana sifa za kuwa rais.
1. Ni mtusi.
2. Ni member wa sukuma gang.
Kwa sifa hizi, labda arudi tumboni kwa mamake halafu azaliwe upya ndipo agombee urais.
Yoda zamu tena?Zamu ya kanda ya Kati, Magharibi, Nyanda za juu kusini au Kaskazini
Labda rais wa akudo sound mzeeKama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January , Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.
Kati ya Majaliwa na Biteko… nitampa Bitteko.
Enzi ya Mwalimu, Rais wa JMT alikuwa anaandaliwa, huyu Biteko anastahili kuandaliwa kuwa Rais ajaye endapo tu tunaitakia mema TZ. Tofauti na hapo mtakuwa na miaka mingine 15 ya kula chumvi.
Biteko ni msomi mzuri sana katika level ya PhD ya darasani na sio ya kutunukiwa.
Pia ni mtaratibu na ni muadilifu, na ni mzawa wa kweli kabisa.
Ukiitazama picha ya Biteko, itizame mara 3 , ni lazima utauona urais usoni mwake.
Muda wa kampeni mbona bado.Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January , Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.
Kati ya Majaliwa na Biteko… nitampa Bitteko.
Enzi ya Mwalimu, Rais wa JMT alikuwa anaandaliwa, huyu Biteko anastahili kuandaliwa kuwa Rais ajaye endapo tu tunaitakia mema TZ. Tofauti na hapo mtakuwa na miaka mingine 15 ya kula chumvi.
Biteko ni msomi mzuri sana katika level ya PhD ya darasani na sio ya kutunukiwa.
Pia ni mtaratibu na ni muadilifu, na ni mzawa wa kweli kabisa.
Ukiitazama picha ya Biteko, itizame mara 3 , ni lazima utauona urais usoni mwake.
Asili ya mtu inahusiana vipi na huduma yake kwa jamii!?Zamu ingine ya warundi?manake Mpango na Biteko ..sio ndo wote wa.....?
Hii nchi ukijadili sana huyu katoka wapi unakuja kujikuta kumbe na wewe Babu yako alitokea nchini CHAD au Benin.Mkimalizana na akina Dr.Mpango na Dr.Biteko mtakuja kugundua kuwa Mwalimu Nyerere naye ana asili ya Rwanda na Wangoni wana asili ya Afrika Kusini.Zamu ingine ya warundi?manake Mpango na Biteko ..sio ndo wote wa.....?
Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January, Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka ijayo.
Kati ya Majaliwa na Biteko, nitampa Bitteko.