Sijui kutongoza!

Sijui kutongoza!

Love Ismail

Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
35
Reaction score
4
daaaa jamani kwel watuwengine tunauoga ambaohaunakifan
topc:nikwel mimwenzenu sijuikutongozamadem nilionao huwanawapatakutokana na ustarabuwangu na nilivyo mpolemwenyekufurahisha
nifundishen yaaan minimuoga wakusimama na mwanamke na kuanza kutongoza nitashuruku thana
 
Jipange vizuri basi....hata kuandika kwa nafasi hujui...? jipange
 
daaaa jamani kwel watuwengine tunauoga ambaohaunakifan
topc:nikwel mimwenzenu sijuikutongozamadem nilionao huwanawapatakutokana na ustarabuwangu na nilivyo mpolemwenyekufurahisha
nifundishen yaaan minimuoga wakusimama na mwanamke na kuanza kutongoza nitashuruku thana

ingia hapo..........
[h=3]Siwezi kutongoza...[/h]
 
Nipen mistary nikisimama nae nianze vip yaan nianze kuongeaje daaa nikijua watanikoma wanaishobokea sana
 
Tatzo lako dogo una vers moja tu ya "NTAKUOA"
jtahd unapotongoza uwe jasiri na uepuke
1.kuumauma vdole,
2.kuchezea sim,
3.kuangalia chini kwa woga wakat wa kutongoza (mface bora yy angalie chn ukiangalia chn ww hio ni dall ya kushndwa).
4.kumponda mshkaji mwngne ambae unahs huenda ni mpenz wake, jisimamie ww kama ww kwan huenda akawa anampenda na ukamkmbsha so anaweza asiruhusu mawazo yako ata kdogo!.
 
Nipen mistary nikisimama nae nianze vip yaan nianze kuongeaje daaa nikijua watanikoma wanaishobokea sana

ukikutana nae umtakae msalimie....akiitikia mwambie nakutaka....
akikuuliza unamtakia nini...? mwambie nataka tukado ...
basi atakubali hapo umemaliza ....
rahisi kama hivyo ...
 
Mama.... Eee nyie ndo mashowgah wa kesho ujue,dah ngekuona vibao vngekuhusu
 
ukiwa nae we cheka cheka tu mda ukiisha rudi home faster
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom