Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Unaposema "wengi" ilihali makapuku wengi ndio wanaooa kila siku unawazungumzia wanawake gani? Waliofanikiwa pia walioa wakiwa apeche alolo tu wake zao wakawavumilia hadi wametusua.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] piga xhini hiyooo awa viumbee wakituachagaaa upande mwingine inakaaa POA maana unakuwa na uchunguuu wakutafuta life ukikaa nao unakuwa ndezi ni mapepo ya ufilisii hawaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Copy that sir
 
Na huwez amini...nshawah kumshukuru...!!just cwezi kmruhus arudi....am superman....she is kryptonite...!!ataniangusha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna levels tofauti za mafanikio ujue mwenza.
Kwake hayo ni mafanikio as ametoka kula kulala kwa wazazi now anamiliki single room ya kupanga hivyo kapiga hatua.
Naelewa vizuri mwenza. Amepiga hatua kubwa ila tatizo ni vile anajichukulia...yaani kisa kajaza vitu rum mtu akimtumia meseji anamtafuta kwa sababu katusua
 
Unaposema "wengi" ilihali makapuku wengi ndio wanaooa kila siku unawazungumzia wanawake gani? Waliofanikiwa pia walioa wakiwa apeche alolo tu wake zao wakawavumilia hadi wametusua.
Usione kila mtu ameoa ukajua nd alianza na huyo....!!kila mtu ana historia ambyo hakuna aijuaye zaidi ya yeye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna levels tofauti za mafanikio ujue mwenza.
Kwake hayo ni mafanikio as ametoka kula kulala kwa wazazi now anamiliki single room ya kupanga hivyo kapiga hatua.
Thanks beautiful
 
Naelewa vizuri mwenza. Amepiga hatua kubwa ila tatizo ni vile anajichukulia...yaani kisa kajaza vitu rum mtu akimtumia meseji anamtafuta kwa sababu katusua
Hahahaaaa waala sijasema kantafta kwakuw nmpiga hatua....nmsema kuna mbwamwitu wamemfunza kitu

Somtimes waweza kutafuta furaha kumbe ulishaiacha nyuma...!!

Tunajifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…