Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Shida ni approach aliyotumia kummotivate jamaa ni more sinister approach .amini hakuna kitu kibaya kama kucheza na hisia za mtu.
 
Kwani genye zinahusiana na shughuli za mtu. Kama ingekuwa hivyo Mzee mengi angekuwa hana watoto. Hisia zipo tu [emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana hata ww unakataga mauno kwa umpendae
Sijauelewa huo mfano wa Mengi wakati yeye ndio ilitakiwa awe na watoto lukuki.

Ukiwa hauna kazi ya kufanya hautakiwi kabisa kuwa na hisia.
 
Shida ni approach aliyotumia kummotivate jamaa ni more sinister approach .amini hakuna kitu kibaya kama kucheza na hisia za mtu.
Hiyo approach si unaona ndio imefanya kazi?
 
Sijauelewa huo mfano wa Mengi wakati yeye ndio ilitakiwa awe na watoto lukuki.

Ukiwa hauna kazi ya kufanya hautakiwi kabisa kuwa na hisia.
Wewe hupigwi mashine kisa huna hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…