Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,145
- 8,794
Alafu haina sukarihii chai sasa
Alafu haina sukarihii chai sasa
Uko sahihi kabisa mkuu Ila hapa nahisi unampiga mbuzi gitaa.Mkuu hongera unaoneka na uwezo wa kujibana,ila uwe mtaalamu muhitimu unatakiwa uwe na uwezo wa kuwahi na kuchelewa.Yaani uwe na uwezo wa kujizuia usijojoe na uwe na uwezo wa kujojoa mapema.
Hii ni muhimu kwa sababu wanawake wana kawaida ya kuchelewa kuliko wanaume so ukichelewa ni bora ila sasa ukichelewa sana ni shida kwani wanawake wengi wakishaenda ya kwanza ukiendelea huwa wanachoka na kukauka inabidi umpe break so kama unachelewa sana basi ni tatizo.
Ni muhimu uweze kurudia angalau mara tatu ili mwanamke akukatike kiu.Sio kimoja tu kwani raha ya sex lazima iwa na vitu vitatu
Fore Play 10-30 mins,
Full Play 10-20
Rest play 20-40
Then unarudia foreplay,full play na rest play ambapo mzunguko mmoja unaweza chukua kati ya dakika 60 hadi saa mbili maximum kisha mnarudia tena.
So kama mmeamua kubanjuana kweli kwa usiku mmoja unaweza piga angalau baho 3 na mchana baho 3
ambapo kama mwanamke ni mtamu basi anapiga 3 zinamtosha
Ila fahamu bao mbili za kwanza ndo unamwaga nyingine unakomaza misuli tu ila hakuna cha kumwaga so sio muhimu kupiga zaidi ya mbili.Ila hakikisha mwanamke unamuacha akiwa anatafuta la tatu kama unataka kulinda heshima yako hasa mapokutana first time.
Uko sahihi kabisa mkuu Ila hapa nahisi unampiga mbuzi gitaa.
Masaa manne na January hii?
Maendeleo hayana chama
Asante mkuu, nimetoka kula kiporo hapa
Asantemkuu, kumbe tupo wengi wa aina hii? Mimi huwa mpaka nashangaaga, iweje mwanaume ukojoe vi-2,3,4,.., alafu ujisifu? Nikimkamata mwanamke huwa sifanyi haziji mpaka wengine huuliza unatumia mzizi gani! Kiukweli sijawahi kukojoa mara mbili, labda nitakae spend nae whole night, ila hawa wa short time,siwezi kojoa zaidi yakimoja, ila naakikisha huyo mwanamke akitoka hapo ku,,,,,,,ma inawaka moto.Wanajamvi, naomba kushare kitu kimoja binafsi sana. Lengo ni kujitambua.
Mie ni mtu mzima na huwa nashangaaga sana wanaosema eti wamemlala mwanamke magoli matatu mara manne, hainiingiagi akilini kabisa.
Shughuli nikiifanya mie na hasa kwa mwanamke ambaye msafi na nimemridhia/kumpenda na anajituma lazima NIMKOJOZE mara 2 au 3 mie hapo nikishajua kuwa vitatu kamaliza ndio nakojoa kimoja na kinakuwa na ujazo na kimeshiba.
Siku moja mwanamke akaniuliza unaweza vingapi nikamwambia kimoja tu, akanidharau. Sikuonesha kukasirishwa wala kubabaika, akawa ananinyima kisa nilimwambia kimoko.
Siku moja akajichanganya akaja mitaa ya home nikamtest akaingia laini. Hicho kimoja aliomba poo.
Mimi bwana viwili sikojoi ila hicho kimoja nakwambia utataja vijiji vyote vyenye majina mabaya mfano kidongo chekundu, uchembuzi, urodal eo n.k.
Jamani kamoko kwa masaa 4 hadi ni udhaifu au ugonjwa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinaongeza nguvu Saaana, una kazi "maalum" pahala?Asante mkuu, nimetoka kula kiporo hapa
Sina kazi "maalum" bana . Nina kazi ya mikono hapa nakimbizana na muda, uzuri wa kiporo husikii njaa siku nzima
Oogh afadhali, nilishaanza ku-imagine! Tunamsubiri NeySina kazi "maalum" bana . Nina kazi ya mikono hapa nakimbizana na muda, uzuri wa kiporo husikii njaa siku nzima
AhahahahahaSaa nne zote hizo unafanya ngono tu?? Halafu kanisani unaingia misa ya saa moja hadi saa tatu unarudi kwenu.
Mbona sekunde tano zinatosha kabisa.
Ahahahahaha kawaida sio kushindana wala mashindano maana najua hazinaga makombo kama ni marayako ya kwanza kwa dem basi hiyo ni mpyaaaa kwako hata kama ni used ya 1980Angalia usije ukafia kifuani kwa mtu kisa unashindana na sehem uliyotoka kama yule jamaa aliyepiga bao saba halafu akafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha kwani kazi unafanya mpaka usiku!? Au masaa yote!?Uko sahihi kabisa mkuu Ila hapa nahisi unampiga mbuzi gitaa.
Masaa manne na January hii?
Maendeleo hayana chama
Maumbile babu wewe unawahi kufika kwenye raha yako mwenzio anachelewa.....