Sijui kajiamini nini

Wanaume tumeumbwa matesooo ooh matesooo kuhangaikaaa
 
Du!! huyu jamaa jasiri kweli, mimi najua mwanamke hata awe na ukubwa gani, akiwa hana nguo mwilini, anaweza kubebwa na mwanaume mwembamba na asie na nguvu kiwepesi kabisa.
 
Halahala kipipa asitetereke kisaikolojia akaachia mambo... maana mchezoni kufuli si muhimu ikizingatiwa uhuru unaohitajika...
 
Kwa wale wasomi wanatuambia nini???ni nguvu au ile law of gravity inakamkono kake hapo... ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…