Sijui ilikuwaje hapa!

Mbona hao wageni wake tena wakwe zake kabisa wakimrudishia kuku wake wa mahari? Toka apate utrafiki kasahau kabisa ukweni!
 
Hivi ratio ya watu na vyombo vya usafiri kwa hapa Tanganyika ikoje?
 
Bila shaka walimalizana, kama mkono haukuwa wa birika
 
Ilibidi aache kuku au binadamu mmoja.
 
Yaani hapo ule unabii wao "mke wangu bandika ugali, mboga inakuja sasa hivi" lazima utimie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…