Sijui huu ni mtego au...?

nikawa natwarihi Qur'an basi kuna aya nikawa nimekosea ghafla nikasikia sauti nzuri ya kike ikinisahihisha kugeuka nikamkuta ni yeye. Nikatabasamu na kumshukuru basi ukaribu ukaanzia hapo.
Bila Shaka hiyo site ilikuwa INDIA !??nitarudi kumalizia nikitoka msalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…