Sijui hata sh kumi ya mwanaume huyu,loo mapenzi gani haya!

Doh..!! Umetumia mbinu nzuri sana, siolazima ukaweke bango kule Love conection. Naona ushatangaza na imeeleweka kwamba uko single. Weka umri, sifa na vigezo
 
Yaani na matusi yote hayo unayo mtukana, na jina umemwandika, lakini bado huja mwacha? Ha ha ha anakukuna vyema, na humuachi ng'o! Wewe nenda ukatafute pesa ukikumbuka kukunwa utamrudia tu.
Ha ha ha Mwanaume haisiwi kula nasifiwa KAZI.
Ndio maana jamaa hatoi kitu anakulipa In Kind.
 
Madam B yani Nipo mbioni kumkimbia Huyu bwana,yani ni screpa hana msaada
Bilashaka ana uzuri wake, usingekaa nae mda wote huo..!! yaonesha ulimpenda sana..!! bado unao muda fanya maamuzi sahihi, kwani nyota njema huonekana alfajiri..period!
 
haimaanishi uwe tegemezi kwa mwanaume lakini huyo ana dalili zote za kukuachia majukum yote ya familia hela yake isiwe inaonekana hata ndoani kama mna huo mpango,lazima mwenza wako ajue kipindi huna na kipindi unacho jamani azawise don expect changes ,miaka 3 ni mingi sana kujua ni mtu wa aina gani huyo, ,Every one shud be responsiblo
 
duuh huyu mchaga hafai hata kwa maji ya kunywa...ila kwani ukitangulia gest lazima ulipie?
 
Jamani ni miaka mitatu sasa tangu niwe na mahusiano na Huyu bwana wa kichaga yani hajawahi kunisaidia hata siku moja kifedha,nikimuomba msaada huwa anapindisha,lakini Mimi huwa namsaidia akipata tatizo,pia kila mara huwa analalamika kuwa amefulia kama defensive mechanism ili nisimuombe hela,amenichosha sana,hata tukipanga twende hotel huwa ananiambia nitangulie dhumuni lake anikute nimeshalipia,sina humu kabisa na mapenzi sasa yameanza kuisha,popote ulipo KWEKA ukufikie ujumbe huu

Aisee Kweka...ebu fungua 'darasa' utufundishe na sie hayo 'mateknik' ya kukopa wadada...tushachoka 'kuchunwa' sie!
 
Umemuelewa??au unataka ligi wakati bingwa keshatangazwa?
Wewe sasa ndo sijakuelewa kwani....tunatafuta bigwa hapa....? au tunaangalia mambo ya mapenzi na hela kwa mitazamo tofauti...? kama ni kutafuta bigwa mimi sijamuelewa...ila kama anataka kuachana na jamaa ambae ni mkono wa birika na inavyoonekana hata hajakaa chini kuongea nae...si sahihih...wakina dada mbadilike...tama sana ndo unajikuta mpaka unaingia kuuza dawa kama hao wengine waliokamatwa...
 
Jamani ni miaka mitatu sasa tangu niwe na mahusiano na Huyu bwana wa kichaga yani hajawahi kunisaidia hata siku moja kifedha,nikimuomba msaada huwa anapindisha,lakini Mimi huwa namsaidia akipata tatizo,pia kila mara huwa analalamika kuwa amefulia kama defensive mechanism ili nisimuombe hela,amenichosha sana,hata tukipanga twende hotel huwa ananiambia nitangulie dhumuni lake anikute nimeshalipia,sina humu kabisa na mapenzi sasa yameanza kuisha,popote ulipo KWEKA ukufikie ujumbe huu
hivi wewe ni mzima kweli, yaani unaenda na mwanaume hoteli halafu wewe ndio unalipia! Hii kali ya mwaka. Kwani ni lazima muende hoteli? Kila mtu akae kwake afanye mambo yake mpaka siku kufulia kutakapoisha.
 
Sasa mpenzi si ndo haki sawa kwa wote?!haha,kumbe mkuki kwa ktmoto2!napta2!
 
una hoja ya msingi. To be a man is not what you have between your legs but to assume responsibilities! ila akina Kweka wapo kibao! au unajua huwa anapita jamvini humu?
 
Jamani ni miaka mitatu sasa tangu niwe na mahusiano na Huyu bwana wa kichaga yani hajawahi kunisaidia hata siku moja kifedha,nikimuomba msaada huwa anapindisha,lakini Mimi huwa namsaidia akipata tatizo,pia kila mara huwa analalamika kuwa amefulia kama defensive mechanism ili nisimuombe hela,amenichosha sana,hata tukipanga twende hotel huwa ananiambia nitangulie dhumuni lake anikute nimeshalipia,sina humu kabisa na mapenzi sasa yameanza kuisha,popote ulipo KWEKA ukufikie ujumbe huu

naomba namba yako ya Mpesa
 
Hmmm me mwanaume selfish aisee hapana no.
Kina mr.sina oh mambo hayajakaa sawa.. Waii nendraaaa yakikaa sawa njoo.
Ndio upendo wa i love u ndio sana tuu ila just in a relationship bahili namuna wuyo... Kiru ode ma! Tusaidiane ila unisapot zaidi..
Ni jukumu lako...
Uyo mkaka,ni selfish,selfcentred, a me,me man!
Huyo hata mkivamiwa na majambazi atakufanya chambo.
Anamazuri yake ila je anaikamilisha furaha yako!!
Yani hotel,mie wakwanza af nilipe,ye aje tuu???badala ya yeye kuanza aje anipokee kwa bashasha...na kunirusha ad mlangoni nnapoenda!ah wapi !
Huyo siku akiskia hata maybe hujalipia kitu siatajifanya mgonjwa!!
Kweka for me its a No!
 
Back
Top Bottom