Sijui hata sh kumi ya mwanaume huyu,loo mapenzi gani haya!

MPENZI no 3

Member
Jun 23, 2013
9
11
Jamani ni miaka mitatu sasa tangu niwe na mahusiano na Huyu bwana wa kichaga yani hajawahi kunisaidia hata siku moja kifedha,nikimuomba msaada huwa anapindisha,lakini Mimi huwa namsaidia akipata tatizo,pia kila mara huwa analalamika kuwa amefulia kama defensive mechanism ili nisimuombe hela,amenichosha sana,hata tukipanga twende hotel huwa ananiambia nitangulie dhumuni lake anikute nimeshalipia,sina humu kabisa na mapenzi sasa yameanza kuisha,popote ulipo KWEKA ukufikie ujumbe huu
 
jamani ni miaka mitatu sasa tangu niwe na mahusiano na huyu bwana wa kichaga yani hajawahi kunisaidia hata siku moja kifedha,nikimuomba msaada huwa anapindisha,lakini mimi huwa namsaidia akipata tatizo,pia kila mara huwa analalamika kuwa amefulia kama defensive mechanism ili nisimuombe hela,amenichosha sana,hata tukipanga twende hotel huwa ananiambia nitangulie dhumuni lake anikute nimeshalipia,sina humu kabisa na mapenzi sasa yameanza kuisha,popote ulipo kweka ukufikie ujumbe huu

huyo jamaa ni -------- mwache azubae tutakuhudumia sisi ila asitoe mchozi,ila uwe makn yawezekana we ni spea taili haon umuhmu wako!!!mi mpz wangu wakike ni bahili kinomaaaaaaa khaaaaa haya mambo cjui yapoje sijawah pata dem anayenitoa hela duuuuu!!
 
duh pamoja na kwamba mapenzi sio pesa lakini huyo anaonekana hata akikuoa atashindwa kutimiza majukumu ya kuihudumia familia kama baba,
 
Wanawake wengine bana....yaani hiyo ndo sababu ya kuachana na mtu.....labda kama mmekaa kibata zaidi ni hampo serious
 
Back
Top Bottom