MPENZI no 3
Member
- Jun 23, 2013
- 9
- 11
Jamani ni miaka mitatu sasa tangu niwe na mahusiano na Huyu bwana wa kichaga yani hajawahi kunisaidia hata siku moja kifedha,nikimuomba msaada huwa anapindisha,lakini Mimi huwa namsaidia akipata tatizo,pia kila mara huwa analalamika kuwa amefulia kama defensive mechanism ili nisimuombe hela,amenichosha sana,hata tukipanga twende hotel huwa ananiambia nitangulie dhumuni lake anikute nimeshalipia,sina humu kabisa na mapenzi sasa yameanza kuisha,popote ulipo KWEKA ukufikie ujumbe huu